Mkuu unachekesha kweli,sasa xtrail zimeanza kutengenezwa lini kama sio hiyo mwaka 2000? sasa umegoogle ndio unaona umepata unachokijua kuhusu hizi gari...kama ni kuanzia mwaka 2000 hadi 2004 na ndio gari zote zilizopo bongo sasa hivi kwanini sie wenye nazo tusilijue hilo tatizo? Mimi naweka mafuta ya elfu 10 na natumia siku tatu kwa misele ya ofisini na nyumbani...kw taarifa yako huwezi kosa kitu google mkuu..hebu fanya kautafiti uliza mtu yeyote au hata fundi akueleze kama alishawahi sikia hayo matatizo uliyogoogle....unadhani xtrail utafananisha na rav4 au gx 100 au 110 kwenye mafuta? Labda iwe na turbo