Mpaka hii leo ni kwamba nissan x-trail washatoa models 3 (nackia wanaweza kutoa 4th model 2014)
Aliyoweka mdau ni 1st model zilizoanza kutengenezwa 2001-2006. Pia kuna model za 2007-2010 na kuna kuanzia 2010 mpaka sasa.
Ndg zangu xtrail ni family size car/SUV hivyo kiwango cha fuel consumption si sawa na vigari vidogo. Its a car u can use anytime anywhere (japo niliwahi kutembea na corolla runx dar-singida, 720 km) but for sure, this is a long range & urban vehicle.
Kuanzia 2007 xtrail ni aina tatu. Moja ni ya petrol 2500cc, na mbili ni 2000cc turbo diesel. Kati ya hizo mbili moja ina 150hp dCi & the most powerful 173hp dCi.
Kati ya zote tatu, petrol engine is the worst! 11litres for 100km mjin na kwa highway ni 7.3L for 100km
These are true off-roaders compared to rav4 na ground clearance & boot space ni kubwa kuliko most SUV of its class.
Kwa hii aliyotangaza mdau, nachofaham ni kwamba ina 2/4wheel selector (kitu ambacho hakuna kwenye rav4 1st & 2nd model) ambazo muda wote ni 4wheel since more fuel consumption.
The only disadvantage compared to rav4 ni kwamba, xtrail's back seat are cramped
Hofu kubwa ya wengi ni mentality kuwa toyota are better!! But kila gari ni utunzaji
Ni kweli hizi gari watu waliziogopa mwanzoni kabla hawajazijua namimi nikiwa mmoja wao...ila sasa hivi ndio wengi wanazinunua baada ya kuzijua vizuri....na zinauzwa sana sasa hivi zitawapiga bao sana toyota kwenye rav 4 na harrier...bora umeelezea kwa mapana watu huwa wanaogopa vitu ambavyo bado hawajavijua vizuri hata ukisema ukweli ulivyo inakua ngumu watu kuukubali...mbaya sana hiiMpaka hii leo ni kwamba nissan x-trail washatoa models 3 (nackia wanaweza kutoa 4th model 2014)
Aliyoweka mdau ni 1st model zilizoanza kutengenezwa 2001-2006. Pia kuna model za 2007-2010 na kuna kuanzia 2010 mpaka sasa.
Ndg zangu xtrail ni family size car/SUV hivyo kiwango cha fuel consumption si sawa na vigari vidogo. Its a car u can use anytime anywhere (japo niliwahi kutembea na corolla runx dar-singida, 720 km) but for sure, this is a long range & urban vehicle.
Kuanzia 2007 xtrail ni aina tatu. Moja ni ya petrol 2500cc, na mbili ni 2000cc turbo diesel. Kati ya hizo mbili moja ina 150hp dCi & the most powerful 173hp dCi.
Kati ya zote tatu, petrol engine is the worst! 11litres for 100km mjin na kwa highway ni 7.3L for 100km
These are true off-roaders compared to rav4 na ground clearance & boot space ni kubwa kuliko most SUV of its class.
Kwa hii aliyotangaza mdau, nachofaham ni kwamba ina 2/4wheel selector (kitu ambacho hakuna kwenye rav4 1st & 2nd model) ambazo muda wote ni 4wheel since more fuel consumption.
The only disadvantage compared to rav4 ni kwamba, xtrail's back seat are cramped
Hofu kubwa ya wengi ni mentality kuwa toyota are better!! But kila gari ni utunzaji
Hi zi no mimba zisizo name wazazi a cha kabisa nililepeleka langumodji kwa wazazi wakafienalo loh
Nissan za model yoyote sio gari za uhakika...unanunua matatizo.
Jamani acheni kumuua mwenzenu kwa Pressure maana naona yupo macho kujibu kila comment akiisifia XT, mimi niliomba ushauri kwa jamaa yangu mwenye nayo akanishauri nikachukua uamuzi kutokana na ushauri wake
​sio story za vijiweni mie nishakuwa na three different nissan models...so i know all about them...nissan ni majanga huwezi compare na toyota hata siku moja...never on earth.Kwa taarifa yako nissan ni mashine kuliko toyota, ni kutokujua tu na kudanganywa na stori za mtaani
Heshima wakuu..Heri ya mwaka mpya.. anayehitaje Nissan Xtrail tuwasiliane ni mpya ya 2004 reg.ni CLM Details zingine;
colour; silver
cc; 1990
fuel; petrol
Automatic transmission
imetembea 151,000/= km
Imported in june 2013 from Japan
check me in 0754 814 910 au ni-pm
​sio story za vijiweni mie nishakuwa na three different nissan models...so i know all about them...nissan ni majanga huwezi compare na toyota hata siku moja...never on earth.
Kama ulishawahi agiza gari japan utaelewa tu...kuna hadi za km 200,000
Jamani acheni kumuua mwenzenu kwa Pressure maana naona yupo macho kujibu kila comment akiisifia XT, mimi niliomba ushauri kwa jamaa yangu mwenye nayo akanishauri nikachukua uamuzi kutokana na ushauri wake
Si lazima kuagiza gari Japan ndio ujuwe hizi gari zinaitwa used.
Ndio maana nimeuliza kama ulishawahi agiza gari,maana hizi kwa bongo huwa tunaziita mpya ukiacha hizi brand new ambazo ni serikali na watu wachache wanaoweza kuziafford