Mariaclara Luiz
Member
- Oct 5, 2015
- 60
- 3
Mnatumiaga Rambo au?
huyo anaogopa kwenda kupima kwa hyo anatumia mgongo wako ukapme il na yeye apate matokeo na ina elekea amekusulati na kupga demu mwingne na anawasi wasi huyo demu amempa vidudu nenda kapme kwa usalama wa afya yko ila mwangalie huyo jamaa mara mbili mbili kuwa makini
sijakuelewaPole dada kwa hilo,jiandae kisaikolojia kukabiliana na lolote lile mpenzi wako anamaanisha,najua inauma lakini no way out
Hapana,hatutumii.
Nenda kapime hapo hamna issue yeyote ile wala usiogope pima utapata uhakika hiyo tuu ni mikwara
Wewe kapime tu kwanza ujue afterall hata ikiwa vipi,afya ni yako
sijakuelewa