Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,708
@judgement
umeongea kwa uchungu?
Mwenzangu...! hata nilichouliza hajanijibu...kashikia bango neno "wabaya". Hahhahhaha....
Judgement...wanaume hamzai!! Mnatoa tu mchango kikamilifu katika kumuunda mtoto. Shida zote zinazotokea kipindi cha uchumba na kuchumbia ni changamoto tu za hapa na pale,mwisho wa siku kama beibe ni wako unachukua jumla..Turudi kwenye swali nililouliza, Je kipimo cha kuoa au kuishi na mwanamke kinaenda sambamba na uwezo wake wa kuzaa?? maaana wanaume wengi wamebeza hapo juu kuhusu ya uwezo wake (mdada) wa kuzaa.