Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

Haujamsikia mengine aliyoyasema hao aliongea nao last year pia walifanyaje hao!!!

ni wavivu tu, mazoea mabaya acha awaamshe wajielewe.

Video clips zingine hizo chini uone hata bosi wa elimu mkoani alikuwa anazembea tu

CHONDE CHONDE MH. MAKONDA AKA BASHITE, UMUANGALIE HUYU MWANAMME MWENZIO COCOCHANEL aka WILLIAM MALECELA aka LEMUTUZ. ANA BIDII SANA YA KUKUTETEA NA KUKUPIGANIA HUMU KWENYE JAMVI. ALIKWENDA MPAKA KOLOMIJE AKIAMBATANA NA STEVE NYERERE, MPIGE TAFU MAANA HANA KAZI NYINGINE ZAIDI YA HII YA KUKUTETEA WEWE!
 
Jamaa nadhani hajielewi ama mimi ndo sielewi
taratibu za utumishi?

Mwajiri kwa ngazi za halmashauri ni Mkurugenzi,
na kwa kuwa hawo maafisa elimu ni wakuu wa idara.
Mwenye mamlaka ya kuwaadhibu ni katibu tawala MKOA.

Sasa yeye kutaka wajieleze hizo barua ataziweka wapi sijui!

Pia nashindwa kujua/kuelewa hii dhana ya kupandisha elimu kwa misingi
ya kuongoza kimkoa au kiwilaya nk.

MADHARA YA HII DHANA AMA MBINU DHAIFU NI
1. KUWAFANYA HAWO MAAFISA ELIMU KUTAFUTA MBINU RAHISI
YA KUFAULISHA MITIHANI ILI WAONEKANE KUWA WA KWANZA.

2. WANAFUNZI DAIMA NDIWO WATAKUWA WAHANGA IKIWA MBINU HIZO ZITATUMIWA
KWA PAMOJA KATI YA WAALIMU NA MAAFISA ELIMU.

3. ILE AIBU YA MWANAFUNZI WA FORM ONE ASIYEWEZA HATA 10 X 2 ITAJIRUDIA

NASHAURI WAKAZANE KUPANDISHA WASTANI WA UFAULU WA WANAFUNZI NA SI KUTAFUTA NAFASI YA KWANZA AU KUMI BORA.

KWA AKILI YA KUKURUPUKA KAMA YA HUYU JAMAA
TUTEGEMEE ELIMU KUPOROMOKA SANA
 
Kijana kama yeye kujitengenezea maadui kwa kuwaonea hata sio poa! Nilisomaga mahala kwamba!
A good leader must hv both leadership and management skills! Makonda hana leadership skills.

ANAFORCE TU VITU ILIMRADI AONEKANE
 
Hii kiburi hii...
Hivi hao maafisa elimu huko ofisini kwao wangekosa karatasi za kuandika hayo maelezo?

Makonda- akili yake ni kidogo sana.
 
Makonda anajiokotea walimu na maafisa ardhi kila akikumbuka tusi la utotoni lazima awaite ili awatukane. Ila Mungu sio kiziwi kiasi cha kushindwa kusikia vilio vya watumishi hao ambao vyeti vyao ni genuine
 
Education is not a matter of certificate but education is a matter of skills and one among of the principle of Education is to allow learner to learn what they need in order to fullfill their potention.
R.C allow our children to learn what they need
 

Hapa aliamua kukaa na waalimu na kuwatishia ajira zao kwa kuwapiga mkwara mzito sana.
 
Wako selective kwenye kufuatilia haya mambo.

Mkuu wa majeshi toka ateuliwe namwona kila jioni kwenye taarifa za habari anazindua michezo ya majeshi na mashuleni. Nabaki najiuliza hivi hawa watu wanafikiria michezo tu, hawana cha kufanya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom