tatizo la wabongo walio wengi wanachuki sana alafu ukiwauliza wao makabila yao yakoje awakubali kutaja wala mikoa yao alafu na ushamba unwasumbua[emoji23][emoji23] eti huwezi kukuta muhaya tajiri...
Pambana na hali yako bro...
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
acha ushamba wewe mkoa ujengwa na serikali sio raiya kisa wamesoma leo mkoa hauna maji shule vituo via afiya barabala nyumba za walimu shule sitendi soko nk nani ajenge kama sio serikali taja huo mkoa wako na utaje wanachi walicho jenga katika hivio nilivio vitaja nakabila lako utaje tulijue kama utathubutuSijasoma mpaka mwisho .
RC yupo sahihi kabisa, hizo phd na viingereza mnazitumia kujenga mikoa mingine kwenu mnakusaha
haya hilo tetemeko la aridhi waisani watoa misaada mpaka watz wakachanga jula b sitta huyo mshezi sialikataa kuwapa walengwa alafu washezi wenzie heti wahaya awajengi mkoa wao hovio utadhani nyiyi mmejenga mkoa yeni pumbafu zenukwa uandishi huu na mpangilio inaonyesha kuna tatizo na hapo hapo wewe ni profesa.
Andiko lako halijajibu hoja ya:
'' kila mtu anajifanya mwanasheria, na kuongea viiingeleza vingii" (Kujiona kila mtu msomi)
aliongeza kuwa ''maduka yanachelewa kufunguliwa hata zile siku za kawaida'' (Uvivu).
Kwako profesa:
-Kagera haikuwai kuingia kwenye vita na Uganda, ni nchi kama nchi sio mkoa
-Kuna mikoa mingine wana matatizo ya magonjwa kwenye mazao na mifugo yao.
-janga la ukimwi ni la kujitakia sio kama tetemeko la ardhi.
-acheni kufake maisha
washezi wengi wamekaa kuwalaumu wasomi wa kihaya mfano wakati wa tetemeko la aridhi watzn na waisani wanje na ndani walichanga labilambi kufikia b sitta lakini mshenzi yule alikataa hela hiyo isiende kwa walengwa kisa bukoba mjini kuna mbunge wa cdm rwakatale washenzi wenzie hilo hawalijuiMimi binafsi nimekuelewa na kukubali kiuhalisia hichi ulichoandika.
Wahaya wanalaumiwa bure wakati serikali ya CCM ndio iliyopaswa kulaumiwa kwa haya yanayoendelea Kagera. Wahaya hawana tatizo lolote katika kupambania maendeleo yao, mchawi ni serikali ya CCM.
hawa washenzi wanao shambulia wahaya kwa maneno makali waulize wataje makabila yao na wanakotoka hili tulinganishe kama watakubali kwa ujinga huu ccm itaongoza daima sababu watz walio wengi akilizao kiza totoloHata mimi nashangaa kulala kwa wahaya kunazuia vipi serikali kujenga barabara, hospital, vyuo n.k?? Tatizo kubwa Tanzania ni hawa chawa kazi yao kuponda wananchi wakati CCM ndo inawarudisha nyuma wananchi
tutajie kabila lako tulijue tafadhariWahaya acheni ujuaji, mkiambiwa mnatuletea maneno ambayo haya na hata paragraph, huu nao ni ujuaji wa kujiona umeandika vizur kumbe hujazingatia taratibu za uandishi.
bora wewe mtu watarime kuliko hawa ng,ombe wanaoshambulia wahaya na kuficha makala yaoYaani umesema ukweli mtupu mtanu wangu mie hapa ntarime. Sema umesahau ishu moja kuwa wahaya waliosoma kabla ya mwaka 1900 walipotelea ulaya mazima mpaka Leo wapo huko.
Yaani wahaya wote wakirudi mkoani kwao Nina Imani Tanzania tutakuwa na upungufu wa watalamu hili najua watakataa.
hilo linahusika vipi na serikali kujenga miundo mbinu ndio kusema watumishi wote wa umma mkoani kagera ni wahaya? ebu tupe tafiti yako ulio ifanya pia ututajie mkoa wako na kabila lako tilijueMkuu ulipiga kwenye mshono.
"Mnyamahanga" ukihamishiwa kufanyia kazi Kagera, utapigwa vita vya ukabila na fitina hadi uhamishwe ama ufukuzwe kazi.
taja kabila lako tulijue na mkoa wako na miundo mbinu iliojengwa na hilo kabila lako tukufu hili tulinganishe na huo mkoa wakagera wenye kabila bayahuwezi kuwq unatoka mkoa wa kagera wewe hata kuandika hujui hahahaha
kweli wanakagera ni wavivu wapenda chini,tutajie kabila lako la wachapa kazi wasio penda chini pamoja na mkoa wako ulio jengwa miundo mbinu na wananchi usipotezee tutajie tafadhariHili povu lako ni dhabiti na la kweli kabisa. Lakini mtoa povu nikupe kisa kimoja ili nyie wana kagera mjijue kwamba kinachowaangusha ni mbwembwe zenu, uvivu na kupenda sana chini badala ya kupiga kazi. Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia ujerumani ya hitler na wajerumani walipondwa pondwa sana na majeshi ya ulaya na marekani. Nchi yote iligeuka kifusi. Lakini miaka 10 baadae, ujerumani iliamka tena na kuwa taifa kubwa ulaya licha ya vikwazo walivyowekewa. Jamaa walipiga kazi hasa.
Sasa nyie wakora waitu, vita ya kagera iliisha zaidi ya miaka 40 iliyopita, bado mnaitumia kama kigezo cha umasikini wenu?
Kutokana na uvivu na makidai yenu huenda ndiyo maana magufuli alikataa kuwapa ile michango ya tetemeko.
Eti unataka serikali iwapendelee. Serikali gani inapendelea wavivu? Mwafaaaaa
wewe na nguluwe tofaoti yenu nini?[emoji15] Aliyesoma hiyo habari anifanyie summarization... All in all Kagera imejaa uchawi uvivu na ubaguzi vyote hivi husababisha Umasikini mkubwa ktk mkoa huo... Ndio maana huwez kukutana na Muhaya tajiri...
wewe umeelimika? unaweza tutajia kabila lako na mkoa wake taja kama kweli umeelimikaKisomi au Kipumbavu? Katetea kipumbavu. Hawa jamaa wengi hawajaelimika.
sasa wewe unasifia kabila la wachaga wewe ni mchaga? au wachaga wanakugeza unashika ukuta unagonoka?Hawakuwai kushtuka mapema kuona kuwa ubinafsi utawaletea umasikini.
Nilihadithiwa na mtu mmoja kuwa; kwenye maduka yao huduma ni kwa muhaya kwanza.
We mchaga utasubiri kwanza pembeni.
Umekunywa pombe ya wapi?kwa uandishi huu na mpangilio inaonyesha kuna tatizo na hapo hapo wewe ni profesa.
Andiko lako halijajibu hoja ya:
'' kila mtu anajifanya mwanasheria, na kuongea viiingeleza vingii" (Kujiona kila mtu msomi)
aliongeza kuwa ''maduka yanachelewa kufunguliwa hata zile siku za kawaida'' (Uvivu).
Kwako profesa:
-Kagera haikuwai kuingia kwenye vita na Uganda, ni nchi kama nchi sio mkoa
-Kuna mikoa mingine wana matatizo ya magonjwa kwenye mazao na mifugo yao.
-janga la ukimwi ni la kujitakia sio kama tetemeko la ardhi.
-acheni kufake maisha
kweli kabisa, sasa tuwekee nawe kabila lako na mkoa wako hili tujue uzuli wahilo kabila lakoUjuaji mwingi sana na ubaguzi mwingi, mimi nilisoma kule ilikuwa inafikia mwalimu anatumia kihaya kufundishia , kwani mnakuta darasa zima ambao sio wahaya mko kama 4 tu!!nenda mkoani pale hadi yule RC masawe, akapandika vibao "SPEAK KISWAHILI" yaani hata ofisini kwa wewe usiye mhaya kazi unayo' kule sio ILE ONDOKA USEMWE"Pale ni hata ukikaa hapo hapo utasemwa tu.Na wao wakishakutana tena wanaanza kubaguana kutegemea na eneo wanalotoka huko kijijini!!Tatizo lao kila mtu anataka aonekane anawazidi wengine , ili anyenyekewe!!!
tatizo lako utaki kutaja kabila lako na mkoa wakomji bado wanaishi kijima sana ule
hawa jamaa bila kutembea tembea na kusoma aseeh jamaa wana ujima sana
ubaguzi wanao sana, wahaya wanawaona wanyambo si lolote, wakitoka hapo wanakuja baguana huyu wa kiziba huyu wa katoro
kwa akili yako hiyo mgando ccm atatwala mpaka ifie madalakaniSijasoma mpaka mwisho .
RC yupo sahihi kabisa, hizo phd na viingereza mnazitumia kujenga mikoa mingine kwenu mnakusaha
tatizo watu wanao washambulia wahaya ukiwauliza makabila yao na mikoa wanako toka hili tulinganishe wanaingia mitiniCha kushangaza mnakosema ni wavivu serikali inakusanya pesa nyingi, ukisikiliza maneno ya watanzania waliochoshwa na kodi utapotea. Na vile sasa hivi Kuna RC mropokaji View attachment 2345225
Msukuma.kweli wahaya wanaroho mbaya sana vipi wewe kabila lako mko na roho nzuli? tutajie hilo kabila lako