Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
Kwani jeshi la polisi halina bajeti ya stationaries?Vituo vya polisi hata karatasi tu za dhamana, za kuchukua maelezo nk hawana unaambia katoe kopi stationary hizo zinazogawa zingesaidia kununua rim ngapi,ili kuepusha aibu
Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Ukimsema leta pia suluhisho. Usibaki kulaumu tu wakati suluhisho hutoi. Mnataka apeleke bungeni idhini ya milioni 5 hii si sawa. Hivyo ni vijisenti tu
Unaonaje Rais awe anagawa pesa yeye mwenyewe kwenye miradi ya maendeleo na bunge liache kuidhinisha hizo pesa maana zinapotea tu?Kwani jeshi la polisi halina bajeti ya stationaries?
Kama ipo, hiyo pesa imeenda wapi?
Kama haitoshi na bunge linapitisha hiyo bajeti nani wa kulaumiwa kati ya raisi, wizara na wabunge?
Labda hufuatilii mirejesho ya bajeti zilizopita.. Kwa taarifa tu, bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka 2017/2018, pesa zilizolewa hazikuzidi nusu bajeti iliopitishwa.. That means, kama Wizara ya mambo ya ndani iliomba bilioni 500, basi pesa iliyotolewa haikuzidi bilioni 250.. Kwa hiyo shida haiko kwa bunge, shida iko huko Hazina, ambapo pesa zinapotakiwa zitoke..Kwani jeshi la polisi halina bajeti ya stationaries?
Kama ipo, hiyo pesa imeenda wapi?
Kama haitoshi na bunge linapitisha hiyo bajeti nani wa kulaumiwa kati ya raisi, wizara na wabunge?
Nakubaliana nawe kuhusu kutotekeleza bajeti kwa asilimia kubwa.Labda hufuatilii mirejesho ya bajeti zilizopita.. Kwa taarifa tu, bajeti iliyopitishwa na bunge kwa mwaka 2017/2018, pesa zilizolewa hazikuzidi nusu bajeti iliopitishwa.. That means, kama Wizara ya mambo ya ndani iliomba bilioni 500, basi pesa iliyotolewa haikuzidi bilioni 250.. Kwa hiyo shida haiko kwa bunge, shida iko huko Hazina, ambapo pesa zinapotakiwa zitoke..
Sasa hapo ndo tunaporudi kwa Bwana CAG.. aliposema bunge dhaifu alimaanisha pamoja na hili.. Bunge linaweza kuhoji kwanini bajeti waliopitisha, haikutekelezwa.. Mbaya zaidi ni pale pesa zinapobadilishwa matumizi na Raisi wakati tayar bunge wameshapitisha.. Wabunge wa sisiemu hao..Nakubaliana nawe kuhusu kutotekeleza bajeti kwa asilimia kubwa.
Turudi ktk swali langu la msingi kwanini wabunge wanapitisha bajeti ya wizara husika?
Bunge kwa maana ya wabunge wana wajibu wa kuiwajibisha serikali ktk utekelezaji na uwajibikaji ktk mambo yanayo pitishwa na wabunge au yaliyopo kisheria.
Wabunge hasa wa CCM hawajitambui au hawajui majukumu na wajibu wao kwa wanao wawakilisha.
Zinaliwa chini ya uongozi wa nani?Hizo zilizopangia huko nyingi zinaliwa tu na hakuna kinachofanyika......afadhali hata hizo anazosaidia hadharani zinajenga na haziliwi.
Pumbavu! Unaambiwa wizara hazipewi fedha! Huelewi nini hapo? Anatembea na fedha za umma mfukoni kama zake binafsi!!Kwani jeshi la polisi halina bajeti ya stationaries?
Kama ipo, hiyo pesa imeenda wapi?
Kama haitoshi na bunge linapitisha hiyo bajeti nani wa kulaumiwa kati ya raisi, wizara na wabunge?