Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

Halafu magufuli anavyofanya sio vzr. Tangu aapishwe hajaenda kwa Obama,
Hajaenda kupiga picha na akina Beckham,50 Cent na wala hajapiga selfie na madem wa bongo wala Hajacheza dansi kwenye harusi Magufuli aaa kweli sio mtu mzur hachekicheki kama Rahisi Kikwete
 
FYI, Rais mstaafu JK alipokea nchi Salama yenye Amani na akaikabidhi nchi Salama Salmini !!

Msisahau aliweka magari 700 ya washawasha STANDBY !! akaiweka Zanzibar KIPORO....!!
 
Magufuli anatumbua majipu yaliyoshindikana kutumbuliwa na Kikwete. Hiyo haina maana kuwa Magufuli anamchonganisha Kikwete kwa Wananchi
 
Kwa nini majipu yalishindikana kutumbuliwa wakati wa mfalme yule na sasa yanawezekana...acheni masihara bwana.
 
Kwa nini wengine wakimbilia ku comment bila ya kusoma? Mijivivu hii.......!
 
Yani mtu mzima kabisaa unakaa na kupoteza muda wako kuandka huu upuuzi, Bila shaka wewe utakua ni mtafikia nambari moja nchini
 
bora atuchonganishe kabisa, kuliko kutunza heshima isiyo na tija, taifa kwanza, go JPM a man with fear of God!
 
.....nimekuelewa kwa kujitoa ufahamu, afu usitafute uhalali wa maoni yako kupitia watu wengine, eti "sisi wananchi", wewe na nani? na wenzio mliokuwa wanufaika na safari siyo? inawezekana unasumbuliwa na udumavu wa ubongo, sio bure!!!
 
Back
Top Bottom