anacho nifanyi haki kweli au?

anacho nifanyi haki kweli au?

shareef95nes

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
108
Reaction score
16
eti jaman hii kitu inanishangaza kwa kweli,kuna manzi yangu mmoja hivi nikiwa naongea nae kwa simu nyakati za usiku,kunamtu huwaanampigia,sasa yeye anachofanya nikuhold on namba yangu(yani kama kunistopish flani)alafu anaongea nauyo kiumbe mwengine akimaliza kuongea nae ndo ananiludisha mm...,,Eti jamani hii kweli haki kwa mm boyfriend wake?
 
anaongea na baba'ke mzazi kwanza:yo::yo:mchane live, afu nahisi we ni mshika pembe vile ni mawazo yangu tu
 
Kwani wewe hauna mwingine? Kama huna,tafuta ili uwe unam-hold na wewe.Simple like that men
 
we second option kwake kimbia kuna mtu anakusubiri uwe first wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom