Anaanzaje upya?

Huko ni kumdisapoint, Bado umri unaruhusu anaweza kuchange game akafanikiwa before 45 na akapata mke akaoa it is still possible. Men can still do it, of course mwanamke wa miaka 4O tayari ana menopause hawezi tena ila Kwa mwanaume Bado ana few shots to make it in life
 
In a bigger picture, tukisema tatizo ni wewe unaelewa maana yake?
That is not fair judge and honest question!. Hakuna maana nyingine hapo itakayoweza kuwa positive kwa mm. Hii haimaanish ushaur wako ni mbaya. Huyo mtu ni mhanga, hawez kuwa tatizo
 
Jana nilireply huu uzi saa saba usiku, honestly nilifikiri unazungumzia mwanaume wa 40’s ndio maana comment yangu ya kwanza nimesema 40….

Kwasababu nisingeweza kufikiri kuwa mwanaume wa 30s amechelewa… Hajachelewa anaweza kuanza upya.
 
Simple and true. Hakika hakuna mchawi
 
That is not fair judge and honest question!. Hakuna maana nyingine hapo itakayoweza kuwa positive kwa mm. Hii haimaanish ushaur wako ni mbaya. Huyo mtu ni mhanga, hawez kuwa tatizo
Ukiwa mhanga, na sio underage na ukajua wewe ni mhanga na ukabaki kwenye uhanga…. tatizo ni wewe!

Victimhood inapaswa kuwa na timeline…Hatutaenda mbele tukiendelea kumtreat kama mhanga.
 
Yupo in his late 30s na ana few chances to make it ila akiamua lakn
 
Simple and true. Hakika hakuna mchawi
People become Monday kwa kufatisha society perception

Upo late 30 haujaoq basi is big story , huna mtoto is big story

Hizo huitwa unspoken rule , Sheria ambazo hazijaandikwa .

Ukiwa unazitii hizo unspoken rule basi you count every mistake in ur life as a loser . Kitu ambacho kitakufanya uishi kwa regret (majuto?)

Na kupata depression na frustration

So mwambie don't give a fuc-k , age yake bado inampa nafasi kubwa ya kufanikiwa
 
Watu wengi wanaishi Kwa perspective ya watanionaje and that's the ultimate jailer.
 
Ushamba wangu huu hata sijui namna ya kuattach thread. Lakini ukisearch "ghost phase kwenye maisha ya mwanaume" utaupata
 
Una copy kama link una paste mkuu,ni easy tu

Huu hapa kwa faida ya member wengine.
 
Hiyo baby steps nimeipenda sana

Akubali kwanza yeye ni masikin akishajua yeye ni masikin ndo ajiulize ukitaka kustep au kumove kutoka kwenye umasikin inabidi nifanyeje? Jibu ni moja lazima kufanya kazi

Kwahiyo afanye kazi kwa nguvu na kwa kujituma

Kulia Lia hakutamsaidia chochote kile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…