Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 821
- 1,501
asubuhi asubuhi watu hatujaamka tunakutana matatizo ya watu ushauri tuutoe wapi na hata chai hatujanywa jaman. Ngoja kwanza konyag zishke kichwa ntakuja na wazo la kumshauri huyo ndugu yetuNikahisi bangi zimenigeuka lohh!!
Mshauri vizuri sasa, sio uandike as if hujapitishwa kwenye moto na wewe!!asubuhi asubuhi watu hatujaamka tunakutana matatizo ya watu ushauri tuutoe wapi na hata chai hatujanywa jaman. Ngoja kwanza konyag zishke kichwa ntakuja na wazo la kumshauri huyo ndugu yetu
ntamshaur vizur tu lakin sio asubuh hii na mahangover yote haya. Ushauri usije kuutaka asubuhi coz asubuh ni mda hesabu tu hata mashulen.Mshauri vizuri sasa, sio uandike as if hujapitishwa kwenye moto na wewe!!
Mbona hata sisi tuna hang over lakini tunatoa ushauri! Watu tunatoaga ushauri tuko tungi ile ile wewe unasumbuliwa na hangover?ntamshaur vizur tu lakin sio asubuh hii na mahangover yote haya. Ushauri usije kuutaka asubuhi coz asubuh ni mda hesabu tu hata mashulen.
Wana jeiefu hawanaga dogo😂watakuja kusema huyo rafiki yako ni wewe😂
Kubwa zaid ni mkwamo wa uchumi? Mahusiano au familia isiyojali?Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
That is not negativity, it way of experiencing life to others. Na kun jambo moj watu huwa wanashibdwa kulielewa, kiroho linaitwa kukataliwa. Suala lingine linalosumbua sana watu ni matumaini "hope" ambay kiuhalisia linapoteza san muda wa mtu na kudhan litskuwa jambo fulani SIKU MOJA. Hiyo siku haifik n muda unasogeaUsijiwekee hizi negativity! Utaishia kuibuka kiumbe cha ajabu bila faida yoyote! Bora uhame ukaanze upya sehemu nyingine kabisa!
Topics za namna hii zinakufaa, you always make sense in every word.💪Biblia inasema, Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo, Kuna watu wanafanya wanavyovifanya hawajui ni kiasi gani vinagusa na kuharibu mioyo yao, Nikiona mtu anafanya something weird huwa namuuliza, una uhakika miaka mitano ijayo ukikumbuka hiki unachofanya sasa will you be proud of yourself?
Kwa dunia ya sasa tuseme linda sana afya ya akili yako kuliko vyote ulindavyo maana hapo ndipo zitokapo chemichemi za motivation.
Mwambie jamaa yako , tatizo ni yeye… Na yeye ndio anaweza kujikwamua atoke hapo. Aanze na kukubali kwanza hali yake, na kuiboresha hali yake. 40 amechelewa lakini haimaanishi hawezi kuanza.
Ajiwekee malengo madogo madogo, kama kuwa na kitu cha kumuingizia kipato, kuwa na permanent address, kuwa na uwezo wa kula na kunywa maji safi.
Baada ya hapo ndio aanze kupanga malengo ya kati na yanayofuata.
Ikishindikana ajifunze uongo uongo atafute mshangazi.
Ngoja tusubiri ushauri na sisi wengine tukaufanyie kazi. 30s inatesa sana hasa ukijiringanisha wewe na wengine wenye umri kama wako,marafiki hata uliosoma nao unaona wenzio wanasonga mbele tu ila wewe uko palepale hakuna linaloenda mbele zaidi unavutwa nyuma kila siku. Kuna kipindi mtu unaamua kujitoa mpaka kwenye social networks maana ukiona classmates wenzio au hata marafiki wanavyojipost kwa mafanikio yao unakuta kichwa kinavurugwa tu. KWANINI MIMI? Swali hili huleta msongo wa mawazo kichwani.Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
Very right man!Kuna tofauti ya mtu aliyekumbwa na changamoto na mtu aliyeamua kukaa kwenye changamoto.
Huyo yupo kundi la pili.
Kosa kubwa sana mkuu. Mashindano na kutaka kujilinganisha na wengine inaharibu utulivu wako katika kupiga hatua zako. Unachotakiwa kuzingatia ni wewe kujiwekea malengo binafsi ya muda mfupi na mrefu na hayo ndo yawe reflection/kioo chako unapoji judge kihatua. Unapojilinganisha na wengne utaishia kupata frustration tu na hicho kitendo hakimpi Mungu utukufu kwenye maisha ya wengine, kila mtu ana njia yake na namna yake ya Mungu kujiinua kwenye maisha yakeNgoja tusubiri ushauri na sisi wengine tukaufanyie kazi. 30s inatesa sana hasa ukijiringanisha wewe na wengine wenye umri kama wako,marafiki hata uliosoma nao unaona wenzio wanasonga mbele tu ila wewe uko palepale hakuna linaloenda mbele zaidi unavutwa nyuma kila siku. Kuna kipindi mtu unaamua kujitoa mpaka kwenye social networks maana ukiona classmates wenzio au hata marafiki wanavyojipost kwa mafanikio yao unakuta kichwa kinavurugwa tu. KWANINI MIMI? Swali hili huleta msongo wa mawazo kichwani.
Duh sasa mtu kama huyo amesoma hiyo human resources management lakini kuzisimamia tu hizo M10 ameshindwa.!Very right man!
Huyu yupo kundi la walioamua kuzikaribisha changamoto kuwa sehemu ya maisha yake, ameiharibu afya yake kwa kukubali vile alivyo bila juhudi zozote.
Yupo dada mmoja, in her late 30s or early 40s. Nae ameamua kukaribisha changamoto ziwe sehemu ya maisha. Anachoamini ni kuajiriwa, yaani hiyo huma resources management aliyosomea anaamini ndio kitu pekee anatakiwa kukifanyia kazi hapa duniani. Mzazi amempa 5m afungue biashara, miezi sita amefunga na kurudi kwa wazazi, kapewa tena 5m baada ya mzazi kustaafu akasaidiwa namna ya kufanya, lakini it all ended in vein. Hajawahi kuonekana hata na kimwanaume mahali, sijui ni wale introverts waliopitiliza au niaje.
Akiulizwa anasema yeye anataka kuajiriwa(white color jobs)
Mtu wa namna hii unahitaji saikolojia ya hali ya juu kubadilisha mindset yake.
Ntaandika kitu nilisahau , nikumbushwe...nipo road nowKuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa tu. Amekuwa na kusoma nikimuona.
Alimaliza primary na secondary vizuri sana, alikuwa kichwa ndoto zake alitaka kuwa rubani. Ila haikwenda kama matarajio. Advance alipitia changamoto, sijui alikumbana na tukio Gani maana ni mpka alirudi home. Alishuka galfa kimasomo kamaliza hakufauru akarudi diploma. Ila alikua kama kapoteza Nuru ya maisha.
Toka hapo Sasa ikawa ni mtu aisye maliza anacho Anza, kaenda kusoma diploma hakumaliza, karudia tena akafanikiwa. Ila Sasa kitu ambacho nakiona kwake ni kama kakata tamaa ya maisha.
Ni mtu asiyeonesha ana shida, akipata kazi anafanya Kwa mwezi mmoja anaacha. Analaumu sana mapito yake, hana marafiki wa kudumu. Hana mahusiano. Alishawahi kunipa stori ya demu mmoja ambaye alimcheat so baada ya hapo hapendi kabisa.
Huwa najiuliza namna ya kumsaidia nashindwa, Kuna kitu moyoni make kakibeba anashindwa kukitua. Anapenda sana kutoa wosia yaani mkikaa naye utadhani unajua Kila kitu kuhusu maisha. Ila yeye Sasa ame stuck.
Kama Kuna mtu, au mwana psychologia au mwenye kuliona hili jambo kipekee atoe ushauri labda utamsaidia. Jamaa umri umekimbia Kuna muda Huwa tukiongea anasema kabisa kama angekuwa mtu mwingine angejiuwa, ila naishia kucheka namwanbia unataka stori ya maisha yako iwe ya kijinga namna hiyo? Ila ukweli jamaa ni kama afya yake ya akili inazidi kuwa mbaya. Anahitaji msaada.
Nilimshauri atoke nyumbani aende akaanze maisha upya, ila naona japokuwa kahama, tabia ni ile ile, kupigia watu simu, kuomba hela, kuongelea mafanikio ya wengine.
AsanteUsijiwekee hizi negativity! Utaishia kuibuka kiumbe cha ajabu bila faida yoyote! Bora uhame ukaanze upya sehemu nyingine kabisa!
Naomba attach huo uzi hapa mkuu kwa faida ya member wengine.30's kwa mwanaume bado ana muda. Ajitathmini nini amekuja kufanya hapa duniani, then apambane. Safari ya kuweka misingi ya maisha haizidi miaka miwili. Bado ana muda. Kuna uzi wangu nimeandika hapa jf unaitwa "ghost phase kwenye maisha ya mwanaume". Jaribu kucopy and paste halafu mpe jamaa ausome
Biblia inasema, Linda sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo, Kuna watu wanafanya wanavyovifanya hawajui ni kiasi gani vinagusa na kuharibu mioyo yao, Nikiona mtu anafanya something weird huwa namuuliza, una uhakika miaka mitano ijayo ukikumbuka hiki unachofanya sasa will you be proud of yourself?