ndio.
Mwakyembe ni wakili lakini sio msomi
Yaani kuna kipindi unaweza kudhani mnafiki mwakyembe alisoma upishi na sio sheria! Kumlinganisha mnafiki mwakyembe na Lissu ni sawa na kulinganisha ardhi na mbingu!Mwakyembe ni wakili lakini sio msomi
Na mimi naona aisee khaaLissu atamfanya Magu anganganie madarakani kwa kuogopa kufungwa
Wakili msomi hawezi kutamani kufuta chama cha mawakili wenzake.Mwakyembe ni wakili lakini sio msomi
Kweli mkuu, hapo nimeona chenga tu!Hebu naomba mwanasheria yoyote mpenda kuelimisha anieleze maana ya 'harbeas corpus'. Ni nini hasa hii?
Angangawhatii? Hahahaa Chadema buana!Lissu atamfanya Magu anganganie madarakani kwa kuogopa kufungwa
wakili mdomo hawezi kua mnafiki aiseeWakili msomi hawezi kutamani kufuta chama cha mawakili wenzake.
google jamaniHebu naomba mwanasheria yoyote mpenda kuelimisha anieleze maana ya 'harbeas corpus'. Ni nini hasa hii?
Yuko anamwomboleza usingizi wake, mwacheni aomboleze tafadhali. Kufiwa na mke kusikie kwa jirani aiseeeMwakyembe ni wakili lakini sio msomi