Anaandika mgombea wa Chadema jimbo la Buyungu

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Serikali imeniogopa,serikali imewadhurumu wana Buyungu chaguo lao.
Kwa upande wangu naamini nimetimiza wajibu wangu,ni kweli kwamba sikuwa na uwezo wa kudhibiti FFU zaidi ya 400,tena usiku wa saa 10.
Ukipata fulsa ya kuwatumikia watu timiza wajibu wako. Mbunge miaka 10,Waziri miaka 7 na Naibu Waziri miaka 3 bado ili ushinde unahitaji FFU tena 400? Shame!! Poleni sana Wayungu,Mungu yupo upande wetu.

Elia F Michael
Mbunge nje ya Bunge.
 
Aisee!

Inasikitisha sana
Heri waweke mfumo wa chama kimoja
 
Serikali imeniogopa,serikali imewadhurumu wana Buyungu chaguo lao.
Kwa upande wangu naamini nimetimiza wajibu wangu,ni kweli kwamba sikuwa na uwezo wa kudhibiti FFU zaidi ya 400,tena usiku wa saa 10.
Ukipata fulsa ya kuwatumikia watu timiza wajibu wako. Mbunge miaka 10,Waziri miaka 7 na Naibu Waziri miaka 3 bado ili ushinde unahitaji FFU tena 400? Shame!! Poleni sana Wayungu,Mungu yupo upande wetu.

Elia F Michael
Mbunge nje ya Bunge.
Waliopiga kura ni polisi au wananchi?
 
Source please maana wabongo unaweza kuandika wewe ukasema ameandika mgombea
 
Ameandika kwa uchungu sana. Kama namuona vile
Elia, usikate tamaa, miaka yako inakuruhusu kuendelea mbele kwa ari kubwa na nguvu kubwa zaidi. Kama mbuge nje ya bunge endelea kuwatumikia wananchi wako na ushirikiane nao kwa karibu. 2020 ii karibu.
 
Wote hadi tume ya uchaguzi na mahakama
Nimeangalia tofauti ya kura ni karibu 8000 nikawa najiuliza ni kweli uliwataja hapo juu wanafikia idadi hiyo maana chiza amepata kura 24,000 na mwandishi amepata 16000 nimepata shida kidogo bora angekuja na kitu kingine
 
2020 hakutakuea na mbunge hata mmoja katika la Jamhuri ya Muungani wa TanzaniaCCM NI otooo!
 
Back
Top Bottom