Ana nia ya kweli katika mahusiano yetu?

Ana nia ya kweli katika mahusiano yetu?

Wadada bana,mnawaza ndoa tu ile ya church au msikitini(sherehe yenyewe) upendeze,upige selfie,uwaringishie best zako basi!!naamini ndoa ni zaidi ya sherehe ya harusi,jitadhimini unataka sherehe ya ndoa au maisha ya ndoa?? Usije ingia kichwa2 kesho unakuja kusema jamaa anamvizia dd flan jitani yake wa zamani.Muombe Mungu kwanza.
 
Nilikua kwenye mahusiano yasiyo rasmi na mwanaume mmoja ambaye sasa namuona kama mume mtarajiwa, ila kabla mahusiano yetu hayajakomaa niligundua anamfuatilia binti mmoja ambaye wanakaa karibu lakini baada ya kumuuliza alikubali na kusema alipitiwa tu ananipenda mimi.

Alimpigia simu huyo binti na kumwambia ananipenda Mimi na amsamehe kwa kumpotezea muda na Mimi binafsi nampenda sana huyu kaka na Jana tu ametoka kumwambia mama yake kuwa yupo kwenye mahusiano na Mimi na tulivyopanga na yeye mwakani tunafunga ndoa.

Naombeni ushauri wanajamvi kwani huwa naingiwa na hofu namuomba sana Mungu anisaidie nifunge ndoa na nampenda sana mwenzangu huyu
anakupenda we kuwa naye tu ...kwa kuwanimwanaume kupo kuteleza tu ila jikaze vumilia....narudia huyo anakupenda mpaka alichukua hatua za kumjuza huyobinti yuko nawe...maka kumuambia mama yake ....usiogope hujui kesho uwezi jua ndio wako huyo
 
Jitahid kumpenda xn huyo huenda akawa mwandan wako
Ila mkae nae mpange kuhusu maisha
 
Tuna penda ili tupendwe.
Tuna tafuta ili tufanikiwe.
Bahati mbaya sana mungu hakuweza kutufunulia ili tutambue yatakayo jiri katika siku za usoni.
Hivyo tunajaribu na kubahatisha, na tunabaki kwenye kutamani ili kutimiza haja za mioyo yetu.
Hivyo usiogope kuingia kwenye mahusiano au ndoa kwa sababu ya hofu au maneno na matukio yalio kwisha kupita.
 
Natafuta mwanaume mganeLove ConnectJul 11, 2016Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya kweliLove ConnectMay 18, 2016Natafuta mwanaume wa kuanza naye maishaLove ConnectSep 1, 2015Natafuta mwanaume mlemavuLove ConnectJun 20, 2015Natafuta mwanaume wa kunioa mwenye vvuLove ConnectNov 8, 2014

5 Days Gorilla Trekking.jpg
 
wanaume wana techniques sana inaweza ikawa alishampanga huyo dada kwamba atampigia simu na wakapanga yakusema, inaweza kuwa anakupenda zaidi wewe ila bado yupo na huyo mchepuko, maana from nowhere mtu hawezi akampigia simu mwanamke aliyekuwa nae halafu akamwambia eti "anakupenda wewe" kwani huyo dada ndio alimtongoza huyo kaka au? halafu huyo dada akakubali yaishe kirahisi rahisi hivyo🙂, read between lines.
 
Ushauri makini unahitaji kufahamu historia yenu kwa undani. Mambo hayo machache hayatoshi kuhukumu.
 
anakupenda we kuwa naye tu ...kwa kuwanimwanaume kupo kuteleza tu ila jikaze vumilia....narudia huyo anakupenda mpaka alichukua hatua za kumjuza huyobinti yuko nawe...maka kumuambia mama yake ....usiogope hujui kesho uwezi jua ndio wako huyo
Asante afande
 
japousije uka
Asante afande
bwaga moyo mia kwamia siopoa ila mshikilie tu...as long as ni mwanaume jua anaweza teleza ila muwe huru kwa wote kwa kila mmoja......relax pia asikuone desperate sana....just keep it cool life is good
 
Huyo dada ninafanya nae kazi mie na hata kugundua mahusiano yao ilikua kaniazima cm na sahv anajua mahusiano yetu sema mdada anaonekana ana hisia na mwanaume wangu sababu uwa ana mtext na kumpgia na mwanaume wangu uwa ananiambia
Naona ushajimilikisha!!!!! Safari bado mbichi. " Mwanaume wangu"?????????????
 
Back
Top Bottom