Ana mimba yangu lakini ndugu wameniambia nisimuoe kisa dini zetu tofauti

Sio wote bwana wenye huruma we mtu unaona maisha yake unambebea na mimba kabisa

Ndio huruma yenyewe hiyo kumbebea mimba mtu anajisifia kabisa sina ajira, kula kulala bure mtu ajiongezi kujua kuna kiumbe chake kinAkuja na anahitaji matumizi
 
Ndio huruma yenyewe hiyo kumbebea mimba mtu anajisifia kabisa sina ajira, kula kulala bure mtu ajiongezi kujua kuna kiumbe chake kinAkuja na anahitaji matumizi
Hhahahah hujiulizi mtoto ataishije mimi sina kazi baba mtoto hana kazi kweli huruma
 
wazungu na waarabu wametuharibu sana na hizi dini zao... kwani Adam na Hawa walikuwa dini gani?

usiowane naye sasa lakini usiachane naye pia....

Subiri mwaka mmoja upite kisha jiulize swali hili hili uone jibu lake ni lipi,ukiona unaendelea kushindwa kupata majibu kama sasa vuta subira tena mwaka mwingine na kama hali ni hiyo hiyo vuta miaka miwili zaidi kisha jiulize swali hilo hilo....

Hapa utapata kitu tofauti...
Mkuu hizo habari za Adam na hawa ulipata wapi kama sio hao wazungu na arab
 
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nipo njia panda nahitaji ushauri wa ziada.

Me ni muislam mwenzangu kristo lakini ndg wamesema nisimuoe kisa dini zetu ni tofauti na wamesema nikitaka kumuoa basi mahari nijilipie mwenyewe.

Nilijaribu kuhoji wameniambia wengi walioa wakiristo hawakufika popote kimaendeleo na kimahusiano yani mahusino yanakua hayaeleweki pia ukiangalia huyu binti anamimba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa wewe utie mtoto wa watu mimba halafu unategemea wazee wakulipie mahari? kwani ni nani alokulazimisha ufanye mapenzi na huyo mwanamke? Uliposhindwa kumiliki visinti vya kununua kondomu tu ile ingelikupa uamko kuwa usifanye uasherati kwa sababu huna kipato cha kujikimu wewe mwenyewe seuze mke na mtoto. Na muhimu zaidi hivi ulufikiria nini kitatokea ulipoamua kupiga peku peku? Ni kipi kilichokufanya uamini kuwa hutoweza kumtia mimba huyo rafiki yako? Kama ulijua kuwa ipo chance ya kuweza kumtia mimba na unajua kuwa akipata mimba itabidi umuoe na unajua kwa udhani huna pesa za mahari kwa nini uliamua kut@@@ba?
 
Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nipo njia panda nahitaji ushauri wa ziada.

Me ni muislam mwenzangu kristo lakini ndg wamesema nisimuoe kisa dini zetu ni tofauti na wamesema nikitaka kumuoa basi mahari nijilipie mwenyewe.

Nilijaribu kuhoji wameniambia wengi walioa wakiristo hawakufika popote kimaendeleo na kimahusiano yani mahusino yanakua hayaeleweki pia ukiangalia huyu binti anamimba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mpaka mnapeana mimba vichakani bado tu mnajiona na nyie mna dini? Labda kama waabudu shetani. Be serious please

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom