Ana mimba yangu lakini ndugu wameniambia nisimuoe kisa dini zetu tofauti

Habari wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nipo njia panda nahitaji ushauri wa ziada.

Me ni muislam mwenzangu kristo lakini ndg wamesema nisimuoe kisa dini zetu ni tofauti na wamesema nikitaka kumuoa basi mahari nijilipie mwenyewe.

Nilijaribu kuhoji wameniambia wengi walioa wakiristo hawakufika popote kimaendeleo na kimahusiano yani mahusino yanakua hayaeleweki pia ukiangalia huyu binti anamimba yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja na Familia yako ndio watu wako wa karibu zaidi na wanaokutakia mema lakini Dunia ya sasaivi sio ya kupangiana maisha ukisha kua mkubwa na kujitambua, wao watahusika kwenye kukushauri tu na sio kuchukua maamuzi.
 
Tafuta kazi/ajira/jiajiri uhame hapo uwe na uhuru wako, Kwahiyo hiyo mimba mlipeana wapi? Hapo kwa babu mwisho wa siku utapangiwa hadi styles za kufanya na mkeo.. jiongeze usikae kiboya

Wanawake tunahuruma sana
Sio wote bwana wenye huruma we mtu unaona maisha yake unambebea na mimba kabisa
 
Waambie ndugu zako waache ubaguzi wa dini, wasichijifanye wao waujua Uislam kuliko waarabu waliouanzisha, Maamuzi yote yapo chini yako na vilevile usibebedhambi ya kumzalisha mtu na kisha ukamuacha imagine angekuwa dada yako ndo anafanyiwa hivyo
Nibora ningekua na ndugu kama wewe mkuu unaejitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani anayeoa ni wewe au ndugu zako mkuu?
Wewe ndo unayemjua mtu unayetaka kumuoa, ukiskiliza sana ya ndugu wataingilia uhuru wako hata kwenye mambo ya msingi
Kuna huyo baba yangu mdogo yeye ndiye kawaozesha kaka zangu yeye ndiyo hataki kabisa kusikia habari hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zako ndio walimnanii mke wako au....
siamini kama ndugu zako wamekushkia akili namna hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom