Ana miaka 43

Na kujitunza pia miss neddy bila hivyo udongo mzuri tu pekee hautoshi. Kitufe cha like huwa hukioni ni aje? nilikuwa naangalia uwiano wako wa zile ulizopokea na zile ulizotoa

kaka vp mzma
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Na kujitunza pia miss neddy bila hivyo udongo mzuri tu pekee hautoshi. Kitufe cha like huwa hukioni ni aje? nilikuwa naangalia uwiano wako wa zile ulizopokea na zile ulizotoa

Hahaha BAK kitufe cha like kipo huoni nimelike hapo ila zamani nilikuwa natumia opera now natumia app tegemea za kumwaga
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mungu ananijalia niko fit sana tu namshkuru, mbona niliacha card kwa jirani yako baada ya kugonga kwa muda mrefu bila mafanikio? Hukuipata? 🙂🙂

Hahahaa.... Haya sawa mkuu, habari ya uzima wako?? Hatualikani???
 
Lakini sura inaonyesha kabisa umri umeenda shule japo bado analipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…