Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

Habari yenu wana JF,

Nina mchumba wangu ninampenda sana, kabla/wakati tulipoanza mahusiano, alikuwa 'anti-social' hata kwa wanawake wenzake lakini kadri siku ziliposogea baada ya kuanza mahusiano nikaanza kuona ameanza kupenda kuwa na marafiki.Tatizo sio kuwa na marafiki bali marafiki wake wengi ni wanaume zaidi ndo marafiki anaowasiliana nao kwa sana kuliko wasichana wenzake.

Naomba ushauri nifanye nini ili nipate amani ya moyo maana nakosa raha napoona anakuwa too busy with men than her fellow women.
anajaribu kulinganisha maungo yako na yao hao marafiki kama yanalingana. Akipata jibu atarudi tena kuwa anti social usijali, it's called an experimental phase. It happens atimes in relationships.
 
yaan nimekumbuka mbali since nakua nakumbuka kua na rafiki mmoja wa kike na wengine wote wakiume hata xul nimesoma gal likini my fellow gals sikuweza kua na urafiki nao mi nlikua na marafiki shule ya boys jiran same sama hadi memaliza chuo nw am fighting this sababu marafiki wa kiume nw wanakua na gf zao then mimi sio kipaombele tene sababu am just a friend nw nimejaribu kuongeza wigo wa marafiki wa kike hata wale nlikoa sichangamani nao chuo nw am trying harder to be their friend inanisaidia bf alisha zoea kua siwez kua na marafiki wa kike nw nimebadilika hadi pipo arround me wananishangaa.......tell her marafiki wa kiume hawakai better abadilike haiwez tokea ghafla ila taratibu inasaidia
Hakika mi sikubaliani na suala la msichana wangu kuwa karibu na wanaume kupitiliza. sisi wanaume tunafahamiana nyendo zetu hatunaga subira muda wowote tunaweza kuchafua, hivyo najiadhari na hiyo hali isije kumtokea
 
Marafiki wakike ni umbea tu amna cha zaid bora niwenamarafiki wakiume tu mbona na Mimi nipo ivo nini cha ajabu au unaogopa kumegewa [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Eti enhe
 
Sababu umesema alikuwa si mtu wa kuwa na marafiki kipindi mnaanza mahusiano na sasa amebadilika na kuwa mtu wa kupenda marafiki tena ameenda mbali na kuwa na wengi wa jinsia ya kiume...Ningekushauri ukae naye chini maana ni tabia mpya hiyo ya yeye kuanza kuwa na marafiki umwambie uzuri na ubaya wa urafiki kati ya jinsia zote na tena nenda mbali kwa kumwambia urafiki wa Mwanaume na Mwanamke ambaye si ndugu yako huwa na sifa ya kukua kutoka urafiki wa kawaida mpaka urafiki wa kuvuana nguo..Hivyo awe makini na urafiki huo na pia wewe binafsi hauupendi urafiki huo..
It may help
Thank u
 
wasichana wengi saivi wenye hulka hizo za kuwa karibu na wanaume wengi, wengi wao ukiwauliza sababu watakwambia ooh wanawake wenzangu wambea, mara ooh wana majungu hawapendi maendeleo, ninachojiuliza kufikia umri wake huo alionao wanawake wote aliowahi kuwa na ukaribu nao wana tabia hizo? huwa hainiingii akilini hata mimi. huenda akawa sahihi lakini je suluhisho la kuepuka umbea ni kukaa na wanaume tupu? aliemwambia hakuna wanaume wambea nani? au wanaume wanafiki, wasengenyi aliemwambia hawapo nani? huwa hata sipendezwi na hiyo tabia. kaa nae chini umueleweshe, mwambie Asiishi Kwa Kanuni, Aishi Kwa Taratibu.
Sometimes najitahidi kuwa na mtazamo chanya kumuelekea yeye ila nafsi huwa inasita kukubaliana na hilo
Na sometimes huwa nataka hata kukagua hata cm yake mara kwa mara ingawa najua inaweza kuleta mgogoro zaid
 
Kuwa na marafiki wa kiume sioni kama kuna tabu wala shida kama ni urafiki wa kawaida hakuna interests za mapenzi kati yao. Chunguza tu mawasliano kama hakuna lolote zaidi ya kusaidiana kimawazo na anakuheshimu uyo ndo msichana unayejielewa sasa
Duuuh!
Ndo anajielewa[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
yaan nimekumbuka mbali since nakua nakumbuka kua na rafiki mmoja wa kike na wengine wote wakiume hata xul nimesoma gal likini my fellow gals sikuweza kua na urafiki nao mi nlikua na marafiki shule ya boys jiran same sama hadi memaliza chuo nw am fighting this sababu marafiki wa kiume nw wanakua na gf zao then mimi sio kipaombele tene sababu am just a friend nw nimejaribu kuongeza wigo wa marafiki wa kike hata wale nlikoa sichangamani nao chuo nw am trying harder to be their friend inanisaidia bf alisha zoea kua siwez kua na marafiki wa kike nw nimebadilika hadi pipo arround me wananishangaa.......tell her marafiki wa kiume hawakai better abadilike haiwez tokea ghafla ila taratibu inasaidia
Of course yes[emoji106]
Kinachonishangaza ni badiliko la ghafla sana
 
Since she was anti social before, after being with the guy she realized there is more to having a man that's why she is getting more and more. The only question is what is it exactly that she is trying to get more of from 'em men friends.
En that is puzzle bro
 
anajaribu kulinganisha maungo yako na yao hao marafiki kama yanalingana. Akipata jibu atarudi tena kuwa anti social usijali, it's called an experimental phase. It happens atimes in relationships.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] experimental phase
 
Kama yuko wazi kwako sidhani kama kuna ubaya, inategemea tu aina ya wanaume, wapo wanaojua mipaka ya urafiki lakini kama we hupendi kaa nae umwambie kuwa hupendi
 
Ongea nae mwambie unakosa amani yeye kua na marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike.... Binafsi nimezoeana na wakiume zaidi
 
Hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke, utaliwa kizembe aisee.
 
Back
Top Bottom