- Thread starter
- #81
Imetokea tu ndo maana nkataka ushauri maana sijawahi kua na mshikaji wa hivi.
kwani huyu alitaka au it jus happened?
kwani huyu alitaka au it jus happened?
Si bora angekua dogo mwenzangu ana miaka therethini na kitu kanizidi karibia miaka mitano.
so ushauri wetu umekusaidia? i mean have u fired him?Imetokea tu ndo maana nkataka ushauri maana sijawahi kua na mshikaji wa hivi.
Endelea kupika na kupakua utashangaa mataa ya meli siku moja, by the way I am quite sure that you are not desparate to that extent kwamba unataka kumsubiri jamaa aachane na demu wake ili wewe ushike hatamu, mwanamke una kazi yako kwa nini usijiamini kuwa atakuja mtu sahihi na kwa wakati sahihi? Yaani du am puzzled kusema ukweli sasa hapo ushangae kabisa wewe ni graduate halafu unashindwa kufanya calculation ya simple arthematic ni hatari sana kwa afya yako dada.
Ushangae sasa anaweza hata kukuomba game kwa kisingizio kuwa demu wake amegombana nae kwa hiyo anaona bora wewe umpoze then wewe ukaona ni sahihi, narudia tena wewe you are not desparate mpe makavu kwamba wewe sio restaurant akale kwake ama kwa mama ntilie,mimi wakati naoa yaani hakuna vitu kama hivo eti mara kwenda kwa mchumba kula ama kupiga kambi nilijiwekea malengo kuwa kama nikimzoea sana mwisho wa siku sitaona jipya nikiwa nae kwa hiyo ntaishia tu kumbwaga kwa hiyo nilichokifanya ni keekip destance kwa baadhi ya viti flan kwa ustawi wa ndao yetu and we are now happy together forever
so ushauri wetu umekusaidia? i mean have u fired him?
na udogo wako wote unavumilia, karibu tuanze maisha kama umekosa mwuoaji
kama umekusaidia, have u fired him?Yap umenisaidia, asanteni sana
Ahahahaha hilo nalo swali la msingi
kama umekusaidia, have u fired him?
je ulishamwambia juu ya tabia yake hiyo mario....? utambue kuwa vijana wengi wa kike na wa kiume wote wanapenda mteremko pale unapopatikana.....! jitambue bidada!
Ukitoka kazini piga zako kiepe ye akija mwambie no food, siku tatu mfululizo akiendelea kuja basi either ni mario mzoefu au hua hafati hiyo menu yako akistop shukuru Mungu na namba yake futa kabisaaaaaaa
Asante ndo nlikua nawaza nimtokeje, tatizo pia tunaongozana kutoka kazini.