- Thread starter
- #101
No sifurahishwi na nshamwambia atulie tu na huyo mwanamke wake wataelewana ila anadai ananipenda sana hawezi kuniacha, mwanzo sikuamini kama kweli anademu ila alinionesha hadi conversation zao inaonesha uhusiano wao haupo kivile tena imebaki kutamkiana tu sasa kutokana na ushauri wenu ndo napata picha hata mdada naye amechoshwa na tabia zake za kupenda kulelewa ndo maana anataka waachane.
huyo mumeo noma ila dada unakosea kusubiri huyo mume etinaachane na demu wake kama anampango wa kumwacha aliye naye sasa pia elewa kuwa hata we itafika zamu yako ya kuachwa,nachokushauri tafuta mwanaume mwenye upeo wa kufikiri huyo IQ yake ni ndogo hataweza kukusaidia, mimi nina mchumba ambaye ctegemei kumwacha ninaishi rwanda yeye iringa but wakati wa likizi nakaa kwake na huwa nahakikisha narudi na zawadi nyingi za kumpa demu wangu nikifika kwake namuuliza nini kinakwama nanunua, wakati fulani mshahara wake unachelewa i give her some money for expenditure. So maisha ya mahusiani ni kama nipe nikupe , lakini bidada nambie ni kweli moyo wako unafuraha ya kutosha hilo lidume linapoywambia lina demu wake linasubiri kumwacha ndo lije kwako na umeridhia hilo?