Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

Tatizo la dada zetu hata akitoa miambili kwake inacount sana! Mm wanawake wenye kazi zao niwajuwavyo mm wengi hauwaulizii hela ya nyanya coz wana uwezo wa kununua!
 
Mwanamke mwenzangu nashindwa kukuelewa hivi ni kwamba upo Desperate kiasi hicho kua na mwanaume au ni kweli unaamini atakuoa?Kwa taarifa yako hatamuacha huyo mwanamke wake na atakutumia mpaka ufulie,mjini hapa oohooooo shaurilo!
 
Nimeipenda sana hii.... Na wewe omba kumsindikiza kwake kisha kila siku wewe uwe unamsindikiza kwake na ukikuta chochote we kula mpaka na yeye achoke hahahahaaa...... Huyo anataka kulelewa hakuna mapenzi hapo
 
Kila siku nasoma post zinazowaongelea wadada wa mjini nashangaa vijana hawaongelewi. Alitokea kijana mmoja tunapanda wote gari tukitoka kazini (hatufanyi ofisi moja) aliniomba namba za simu nikampa akaanza kuniimbisha sikua mgumu sana kwa vile sikua kwenye mahusiano baada ya siku chache akaomba anisindikize nyumbani nikamkubalia alipofika akakuta ndugu yangu ninayeishi naye amepika tukapakua tukala, since that day akitoka kazini tunaongozana hadi nyumbani kwangu ninapika tunakula tatizo sasa hatoi hata senti tano sometimez anachagua chakula ooh mi sipeni ugali usiku mara leo nimechoka wali kila siku, mwanzo nilijua kwa vile ndo tumekutana katikati ya mwezi labda kamaliza mshahara huu mwezi wa tatu sasa kila siku katika wiki anakuja kula kwangu jioni hatoi hela ukienda dukani utaona meseji nletee na soda beib. Nampenda sana tu ila mmh ananichosha kwakweli kwanza nashindwa kuelewa ana mapenzi ya kweli au ni huduma tu ndo zinazomuweka kwangu.

Baada ya kuanza uhusiano akaniambia kua ana demu wake, demu anamfanyia mshikaji vituko anataka kumuacha ila anadai anashindwa kwavile demu anakazi nzuri na kwao wanahela kuna vitu amepanga kumfanyia kwahiyo mimi nivumile tu soon akimaliza hivyo alivyomuahidi wataachana maana ananipenda zaidi nna heshima najua kulea mwanaume, nna sifa za kua mke.

Fukuza mariooo hilo tena weke mbali na moyo wko
 
chapa lapa mama hapo sipo....!(nisiongee saaaaana)

Endelea kupika na kupakua utashangaa mataa ya meli siku moja, by the way I am quite sure that you are not desparate to that extent kwamba unataka kumsubiri jamaa aachane na demu wake ili wewe ushike hatamu, mwanamke una kazi yako kwa nini usijiamini kuwa atakuja mtu sahihi na kwa wakati sahihi? Yaani du am puzzled kusema ukweli sasa hapo ushangae kabisa wewe ni graduate halafu unashindwa kufanya calculation ya simple arthematic ni hatari sana kwa afya yako dada.

Ushangae sasa anaweza hata kukuomba game kwa kisingizio kuwa demu wake amegombana nae kwa hiyo anaona bora wewe umpoze then wewe ukaona ni sahihi, narudia tena wewe you are not desparate mpe makavu kwamba wewe sio restaurant akale kwake ama kwa mama ntilie,mimi wakati naoa yaani hakuna vitu kama hivo eti mara kwenda kwa mchumba kula ama kupiga kambi nilijiwekea malengo kuwa kama nikimzoea sana mwisho wa siku sitaona jipya nikiwa nae kwa hiyo ntaishia tu kumbwaga kwa hiyo nilichokifanya ni keekip destance kwa baadhi ya viti flan kwa ustawi wa ndao yetu and we are now happy together forever
 
P ndugu yangu kimbia km vile unakimbia ugonjwa usio na tiba huyo hana mapenzi na wewe pia kunavitu anataka umfanyie na sio huyo demu wake akishapata atakukimbia bila haya na utabaki unaumia utawachukia wanaume kwa ajili ya kinyago mmoja
 
Back
Top Bottom