the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Mheshimiwa!
Kwanza nakusalimia na pili nakupongeza kwa ushujaa wako wa kukubali mdahalo na wehu wa humu JF,
Wengi wao humu bila kuuma maneno ni waliopagawa na kuchanganyikiwa hasa baada ya awamu ya tano kuziba mirija yote ya ujanja ujanja.
Na sasa wameigeuza JF kuwa platform ya wamwaga sumu.
Usidhani JF hii ndio ile tulioianza miaka ile ikijaa mijadala yenye afya na hoja zenye mashiko la hasha.
Hii JF ya sasa imegeuka kuwa platform ya wapingaji wa kila kitu,na imeporomoka kwa kasi sana.
Naomba uwe mvumilivu.
Karibu sana tuko

Sent using Jamii Forums mobile app

, Je umefanya hivyo? na kama hujafanya hivyo ni dharau umeamua kuonesha kwa Mwenyekiti wa chama na Rais wako?