Ana kwa Ana na KIZEE CHA KIRARACHA

Nipo Hotelini nilipofikia hapa A Town, asubuhi naamka naenda Kupiga stat gari langu na kukabidhi Key ya chumba kwa hotel Attendant niweze kuingia kilingeni (Kibaruani), Mapokezi nakutana na Mzee wa Kiraracha, anaonekana kumpa tabasamu kila amuonaye,tabasamu linaloashiria "Umeniona Mbunge wa Vunjo Hapa na Point zangu nje na ndani ya Mjengo, Nipe Hi basi...",mie namchunia na kutokumpa attention yangu na ku act as if nimekutana na mlinzi wa hotel, namkabidhi attendant key na kumpa maagizo anihamishe chumba maana chumba nilichokuwa nilikuwa sipati network vizuri, Mzee wa Kiraracha anajaribu kumsemesha attendant ili asikilizwe yeye na mie niwe interupted,attendant akamwambia subiri Mzee,Policy ya hapa ni first come first serve (Aliyaongea haya kwa kiswahili lakini), Nikampa mkono attendant na kumwambia "Good job", kisha nikajikata zangu kisabuni....
Ila Mzee wa KIRARACHA KIDOGO ANA NG'AA NG'AA Wajameni

LOL.gif
 
Mimi naona hata ungechukua autograph yake... maana anazosifa ambazo kwa nchi za wenzetu (kwa sifa alizonazo tokea mambo ya ndani-NCCR) hawezi kukaa hotel moja na wewe kapuku.
 
Mi napinga tu kumpapatikia mtu maarufu kama haum-feel, lakini kumpa salamu au kuonyesha heshima kwa binadamu mwenzako hasa mwenye uwezo wa kukuzaa na jambo jema.
 
Mimi naona hata ungechukua autograph yake... maana anazosifa ambazo kwa nchi za wenzetu (kwa sifa alizonazo tokea mambo ya ndani-NCCR) hawezi kukaa hotel moja na wewe kapuku.

Hapo kwenye red jiuize sasa
 
Back
Top Bottom