Ana kithembe......! Dah!

Ana kithembe......! Dah!

Status
Not open for further replies.
kuna siku nilienda pale shelly's mwenge, dah kuna mdada mmoja ana kithembe balaaa. huwa wengine najikaza kucheka lakini yule nilicheka mbele yake tena ofisini kwake. akaniuliza eti "thatha unacheka nini tha ajabu"? ngoja uthae mthotho kama mimi.
 
Excel, lakini hiyo wakati wa gemu si ndo inanoga akiwa anataja jina lako kimahaba....imagine....."jamani Ektheli, niinpe yontee" :cool2::cool2::cool2:

hahahaaaa!! nimetheka thana!!

eti ektheli!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
kuna siku nilienda pale shelly's mwenge, dah kuna mdada mmoja ana kithembe balaaa. huwa wengine najikaza kucheka lakini yule nilicheka mbele yake tena ofisini kwake. akaniuliza eti "thatha unacheka nini tha ajabu"? ngoja uthae mthotho kama mimi.

hahahaa!!

na wewe ukamjibu kwa kithembe thembe!

wadada wana shida when it comes to kithembe language!

sijui ni meno wanang'ata kabla ya kuongea?
 
Basi tuna tabu thana na vithembe vyetu,
 
Mmmh napenda mdada mwenye nacho sana yani cjui nielezee vp but napenda mwanamke anaeongea hvyo...😛😀😛
 
Habari zenu wana mmu!

I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!

Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!

Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!

Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!

Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!

Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!

Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?

Kithembe sikipendi kama nini!

Nimependa hapo kwenye red...hebu tupia picha yake tuthibitishe huo uzuri wake na m-record akiwa anatamka neno boxing utuwekee kuthibitisha
 
hahahaaaa!! ndo na mimi nimeshtuka!!

chezea smart phone wewe!

beibwi! umelalwa?

no, sijwalalwa!

kwani we ushakulwa?

hahahaaa!! ukigusa 'a' inakuja u' ukigusa 'w' inakuja z'

mavidole yetu baba!!
 
Habari zenu wana mmu!

I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!

Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!

Haya bwana, leo nimekutana uso kwa uso na toto very shaped from zanzibar! And she told me she is her in the city just for these holidays!

Binti wa watu hana nyodo wala mikogo, si mgum wa kuongea wala hakusita kuitika nilipotia neno moja baada ya lingine!

Jamani ghafla tu from nowhere nimejikuta nimempenda kwa muda!

Sasa tatizo hapa binti ana kithembe jamani, dah! Kila akiongea yani kwenye sa anaweka tha!

Wadau, sijaja kupigwa mawe hapa tafadhali!!!! Tuongeeni tu kwa amani, tatizo hili tunawezaje kulieliminate jamani?

Kithembe sikipendi kama nini!

Umba wa kwako ambae hana kasoro, acha kumkosea Muumba wewe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom