Ana 4 ya 33 yaani ana D mbili ni chuo gani anaweza soma

Chuo kinachotambulika na Nacte hawezi pata ndo maana watu wanakushauri aende veta.
 
acha kuudanganya umma mkuu D2 certificate hawez pata course Amazon

Sent using Jamii Forums mobile app

We nawe una kichwa kigumu.

Vyuo vya Nacte (NTA) entry qualification ni D4 na hiyo ni basic certificate

Vyuo vya Vocational yaani VETA kama mzazi wao na hao wengine akina amazon ndio wanapokea Hata D1 ila jua hawatoi certificate wanatoa NVA 1 hadi 3

Sasa jichanganye
 
Wakuu samahani

Mdogo wangu matokeo ya form 4 kapata D mbili je ni chuo gani naweza mpeleka akaanze certificate msaada wa mawazo yenu ndugu zangu
Mshauri arudie kidato cha nne kwa ufaulu huo chuo chochote kitakacho mchagua kinampotezea muda. FIV ili aweze kujiunga na chuo kwa ngazi ya cheti anatakiwa awe na D zisizopungua 4.
 
Kama ni wa kiume mpeleke VETA akasome umeme uku akirudia masomo ya kidato Cha nne ili asafishe cheti ...
 
We nawe una kichwa kigumu.

Vyuo vya Nacte (NTA) entry qualification ni D4 na hiyo ni basic certificate

Vyuo vya Vocational yaani VETA kama mzazi wao na hao wengine akina amazon ndio wanapokea Hata D1 ila jua hawatoi certificate wanatoa NVA 1 hadi 3

Sasa jichanganye
Shukrani kwa maelezo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom