Ana 2.5 GPA undergraduate, afanyeje ili asome Master's?

Nakumbuka tuli graduate pale UDOM chuo cha elimu; na aliyekuja kulalamika kiwango kidogo cha ufaulu kwa sababu za ugumu wa kozi ni ndalichako, na aliomba kozi ziratibiwe upya. Ualimu umeshushwa hadhi kiasi cha kuonekana rahisi, bro, take a pace on earning its bachelor.....usichukulie rahisi
 
Hivi principal pass ni kuanzia alama ngapi ktk grades za A,B,C,D,E?

Na je E ni principal pass?
Msaada wadau.
 
Hivi principal pass ni kuanzia alama ngapi ktk grades za A,B,C,D,E?

Na je E ni principal pass?
Msaada wadau.
Ukisoma TCU guide kwa umakini utaona ya kuwa E ni principal pass na ina uzito wa point 1.
 
Back
Top Bottom