KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 527
- 1,100
Habari zenu. Kijana kachaguliwa KCMC Medical na ufaulu wake ndio huo hapo juu. Dr Kimaro akamuombea mkopo kwa waumini ibadani na akapata Mkopo wote kwa mwaka mmoja.
Kijana yule wazazi wake ni marehemu na bado hajapata Mkopo na anasomea udaktari kozi kipaumbele.
Wadau inakuaje mtu ana one nzuri na anakosa HELSB Loan, au kuna upendeleo wa utoaji mikopo?