An ex can be friend?

mmu inatumiwa na watu wa aina tofauti hivyo jaribu kutumia lugha y taif ili ueleweke zaidi
mpenzi wako wazaman anaeza kua rafk ako inatwgemeana na makubaliano yenu
 
If two past lovers can remain friends its either they are still in Love or they never were!!! - Annie
 
Last edited by a moderator:
mmu inatumiwa na watu wa aina tofauti hivyo jaribu kutumia lugha y taif ili ueleweke zaidi
mpenzi wako wazaman anaeza kua rafk ako inategemeana na makubaliano yenu
 

tena wanawake ndo wahanga sana wa hiyo another side
 
shosti hapo mwanaume huna isitoshe ukute kwa hao watu wake na wewe anakutambulisha kama ex, manake kwa maelezo yako hakuna hata cha tofauti kati yao na wewe kama picha zao anazo, mawasiliano bado yapo na huyo mwingine ndo umeambiwa kabisaaa usimguse usije muumiza sasa hapo utaniambia kweli uko kwenye mahusiano? my dear u r in love alone mwenzio wala hayuko na wewe, tena nahisi huyo uliyoambiwa usimguse ndo alieteuliwa kuwa mwenye mali halali nyinyi wengine anamalizia ujana wake kwenu
 
...Kama ndio mahusiano ya kwanza, ni ngumu ku maintain urafiki, kwa sababu hata mara nyingi mnaachana kwa chuki na malumbano.

Ila endapo ushatembea na wanaume/wanawake wengi, mnaweza kuwa marafiki bila shida. Binafsi sipendi kujiweka karibu na ex, coz najua hayataisha, utachombeza, mtaongelea mambo hayo tu na mwisho wa siku mtataka mlalane tena.
 

kumbe wewe mwanamke? inabidi mods watuwekee kitufe cha jinsia
 
Haupo njia panda bali kwenye mchepuko.....
 
Asikwambie mtu hao Ma-X watamu kichizi...huwa inaitwa kukumbushia enzi.
Haupo njia panda bali upo kwenye mchepuko
 
ok kwa kifupi na lugha nyepesi.. he is still screwing those x and huyo umepewa onyo juu yake he still have plans to go bak or anampenda tena sana...na wewe ni kipoozeo tu..so chagua kusuka au konyoa mama.. unless kama na yy he is just a f**kmate kwako endele kaa na usimfatilie nyendo zake...siku ukiwa high make a call.. or kama wataka serious r.ship honestly I don't see tht btn u 2 frm the story...
 
Find yo way outta tht congestion yung sissy..he aint lovin yu lyk he loved his exs
 
Hili suala mbona liko wazi kabisa!!
Ni kwamba moyo hautaki kukubali kuwa huo ndo ukweli wa mambo
 
An ex can be a friend BUT with benefit! But for ur case. .honey. .Therez no friendship .He is a cheater. He is not a man enough darling.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…