An ex can be friend?

kukucd

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
307
Reaction score
196
Haaaalllooowww MMU members,

I have something I need u guys to help me,to be honest I am in deep love kwa huyu boyfriend wangu but tatizo simuelewi .Yupo na picha nyingi za 3 different girls bt zipo kwenye pozi tata nilipomuuliza akanambia ni just ex's wake hakuna shida kubaki na kumbukumbu zao,but still anafanya nao contact,sikumuamin nilifanya contact na two girls among those 3 girls, wote walinambia still wapo kwenye relation na my boyfriend, but huyu mwanaume ananambia they are just friends.

Hivi can u be real friend with some one u dated?even if she knows u better than any one else?do any great or even average romance ever end by sagueing into a strong friendship?

What i believe is giving an ex the 2nd chance as a friend is like giving someone bullet because they missed you with their 1st shot.

Ambacho kinanipa shaka zaidi he told me naweza kufanya contact na girls wote ambao nahisi ana mahusiano nao,but kuna girl mmoja kaniambia nisithubutu kufanya nae contact coz tutagombana ,yaani nisimsumbue kabisa huyo mwanamke,kisa ni ex wake ambaye waliachana but anajua still huyo mwanamke anampenda,kwahivo nikimwambia chochote ataumia,does it make sense friends?

Nipo njia panda,nahitaji ushauri wako please.
 
mhhhhhhhh huyo mpenzi wako atakuwa anakusaliti na max wake hasa huyo aliekwambia usithubutu kuwasiliana nae
kukucd hebu jaribuu kutingisha kiberiti mwambie hutaki mawasiliano aina kati ya yeye na x wake hata ya kirafiki na akikujibu jeuri kaa ukijua anakupenda kwa asilimia chache sana
 
Last edited by a moderator:
kwan si wameshakwambia wapo nae?...sasa hayo maswali unayojiuliza yan maana gani?

kama umeamua kuwa nae endelea cz ushauri wetu hsutabadili mawazo yako
 

Na wewe utakuwa ex girlfriend period, wape wenzio nafasi hata wewe unaweza kuhitaji pande wakati ukiwa ex who knows!
 
Kwake wewe ni kiraka wa muda means kipozeo! Ukizingua hata hauwez kubembelezwa utaambiwa ukitaka utarudi na ukikuta mwenzio kushney.
 
kukucd Hivi hujui Kiswahili hadi uandike swanglish?

Sijui nyie watoto vipi

Halafu huyo boifurendi wako ni utafiti au kuna mwingine?
Maana mi najua huyo ndio wako na ulishasema hapa
Au mmeshapigana kibuti?
 
Last edited by a moderator:
kukucd make sense friends?nipo njia panda,nahitaji ushauri wako please.[/QUOTE]
Inawezekana, all my ex except one ni my friends wa nguvu, wapenzi hawaachani, maisha mafupi Hakuna haja ya kutokuwa rafiki na ex wako hata kama makosa ni yake, sote tu binadamu tuna madhaifu, hata wewe una madhaifu yako. Furahia maisha,
 
Last edited by a moderator:
Mimi na X wangu, huwa tunachat but kuna mipaka, tunasaidiana mawazo ya maendeleo. kuachana na mtu aliyekua karibu na wewe haimanishi mnuniane au msiongee inategemea na aina ya mahusiano mlokua nayo. Inawezekana jamaa hana mchezo mbaya. ila chunguza ndipo uchukue hatua.
 
Hivi hujui Kiswahili hadi uandike swanglish?

Sijui nyie watoto vipi

Halafu huyo boifurendi wako ni utafiti au kuna mwingine?
Maana mi najua huyo ndio wako na ulishasema hapa
Au mmeshapigana kibuti?

Hapana sio mimi Eiyer, hapo anaongelea maisha yake halisi, sio ki-jf jf
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na mawasiliano na x haimaanishi kama watu ligi inaendelea,ila chek ukaribu uliopo,sio wanachati kila dakika, usiku huchaa huo sasa ni u Y sio x tena
 
Mimi huwa simwachi mtoto wa kike mpaka kufikia hatua ya kusitisha mawasiliano au kutoongea nae kabisa!Na hii inaniweka kwenye nafasi ambayo hata tukikutana sehemu fulani fulani napewa "mchezo" ile kiselaaaa!!
 
Hapo mimi nadhani huna chako jipange tu vinginevyo. There is no friendship between X's remember!! Whether they call it you never know.
 
mwambie aache utoto being together lazima msacrifice baadhi ya mambo ili muwe na mahusiano ya muda mrefu otherwise mtakuja kuachana kuna shida gani yeye kuacha kuwasiliana na ma ex wako kama hamna anachokosa hayuko real sana kwako huyo so mwambie aache mawasilano nae otherwise mwambie hautakuwa tayari kuendelea nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…