An evening at Forodhani...!!!

An evening at Forodhani...!!!

Aiseeee
Nini kutamanishana jamani

Mimi hiyo mishikaki tu na sambusa,uwiiiiiii!

Madiko Diko
Karibuni sana.......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
IMG-20141211-WA0007.jpg
 
Hapo mie sio muumini mkuu
Hio ndio misosi yetu wanaume wa mikoani....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hiyo misosi ndio inaleta heshima ya ndoa na kuongeza upendo chumbani.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hahaha
Kwa mie mwanamke ni hatari kwa afya ya ndoa
Kweli kabisa, hii misosi ni weka mbali na wadada wote warembo kama wewe. Maana hata kulimega tu shughuli yake pevu, na kumeza lazima upate maumivu ya koo. Ukija kwenye kudonload movie sasa......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hapo lazima ung'ate meno na kusukuma kwa nguvu......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji120]
Uwe na asubuhi yenye baraka zake Allah
 
Umenikumbusha ule wimbo wa Zanzibar! Zanzibar beautiful island of Africa....
 
Back
Top Bottom