An African King arrived in Abudhabi with 15 wives

Kwanini sasa? Yaani aliye na nyumba ndogo 30 anamwona mwenye wananwake 15 halali kuwa hana akili?

Mimi pia lazima nifikishe wanawake watano, kama babangu alifikisha 9 mimi nishindwe nini.
Kila laheri mm hizo nguvu Sina.
 
Ungeweza kuupinga huo umwinyi bila kujaribu kuhalalisha dini yako. Afrika umwinyi ni tatizo na dini ni tatizo pia

unaweza kuanielezea kwa nini afrika hususani tanzagiza dini ni tatizo? kivipi? ni tatizo gani kwa mfano Christianity imelileta tanzangiza? kuna tatizo gani kuishi kwa kufuata amri 10 za Mungu ambazo zinakataza kuiba, kuzini, kuua, kudhulumu, kusema uongo, kuna tatizo gani kunmpenda jirabni yako? kuna tatizo gani kufunga ndoa na kuanzisha familia i.e baba mama na watoto na kuwalea kwa upendo? kuna tatizo gani kusaidia yatima na masikini? kuna tatizo gani watoto wa kiume na kike kupelekwa shuleni kujifunza kusoma na kuandika, ...
 
Athari hasi za dini
1. Inamwanisha mtu mweusi kwamba mzungu ni superior race. Mtu tangu akiwa mtoto anaomba na kuyapigia magoti masanamu ya wazungu kama yesu, maria, watakatifu, malaika n.k. Na kuaminishwa kwamba ndio yenye uwezo wa kufanya superstitions na kumsuluhishia matatizo yake. Hii inapelekea kujiona mnyonge kwa mzungu na kumwona mzungu ksms mkombozi wake.

2. Inadanganya kwamba duniani tunapita makazi mazuri yapo mbinguni kwaiyo waweke akiba zao(sadaka) ili waje kupata hayo makazi mazuri. Hii inaoumbaza mtu mweusi asiandae future ya vizazi vijavyo.

3. Dini inapandikiza ubaguzi. Watu wanaweza kupendana lakini familia zikawatengemesha kwa sababu ya tofauti ya dini za kuletewa tu.

4. Dini haimtaki muumini kuitoa akili nchi ya box, na kufanya hivyo ni kukufuru. Hii inaweza kumfanya mtu ashindwe kutafuta tangiable solutions na kukimbilia kwenye imani.

Mambo uliyayataja kama kusoma, kulea familia, kumoenda jirsni yako, kusaidia yatima hayana mfungamano wa jumla na dini yaani yanaweza kufanyika bila uwepo wa dini. Hauhitaji dini kumfanyia mtu wema, utashi wa kibinadamu tu unakuongoza kujua jambo hili jema au baya kumtendea mwenzako.

Au nikuulize, unahitaji dini ikuambie umpeleke mtoto wako shule?
 
mbona yote ulioyalezea yanajibika kirahisi sana labda haujaelewa Christiniaty vizuri, hivi Christians wanatoa sadaka kiasi gani hadi washindwe kuweka hiyo akiba? na kama ni hivyo kwamba hela yote wanatoa sadaka kuwafanya wawe masikini how is it that the richest and most advanced countries duniani ni Christian? hata tanzagiza the most educated and richest region ni majority Christian, imewezekana vp kama hela yote wanatoa sadaka? isitoshe kwa nini wamasai siyo the richest kwa maana siyo Christian wala hawatoi sadaka na hawafwati hayo mambo 1-4 uliyoyataja? ...
 
Acha afaidi,kuthomba k moja nao ni ungece,utakuaje na k moja kama ulimi!
Shida sio kuthomba, shida hapo pesa iliyotumika kusafiri na hao wake zake ni nyingi mnoo nchini mwake ingesaidia sehemu, kaenda na wake 15 usikute ziara yake ni ya siku 3 tu, sasa siku 3 atawapiga kende wote hao..
Haya na hao watoto 30 wa nini kusafiri nao, si gharama zinazidi tu, watumishi 100, yaani gharama za hiyo safari yake isiyozidi wiki anatumia pesa ya kujenga kipande cha barabara ama hospitali kabisa
 
mbona yote ulioyalezea yanajibika kirahisi sana labda haujaelewa Christiniaty vizuri, hivi Christians wanatoa sadaka kiasi gani hadi washindwe kuweka hiyo akiba? na kama ni hivyo kwamba hela yote wanatoa sadaka kuwafanya wawe masikini how is it that the richest and most advanced countries duniani ni Christian? hata tanzagiza the most educated and richest region ni majority Christian, imewezekana vp kama hela yote wanatoa sadaka? isitoshe kwa nini wamasai siyo the richest kwa maana siyo Christian wala hawatoi sadaka na hawafwati hayo mambo 1-4 uliyoyataja? ...
Dini ni tatizo Afrika, ishi humo.
 
Huyu ndio anamuishi mudi sasa, sie wale wanaoishia wake wawili tu nakuanza kelele wakatoliki wao wake wengi.

Mwamba anapelekea moto mbususu
Sio wale wanaopuliwa visogoni la lidume lenzake baada ya kubarikiwa kanisani

1770161706815.png
 
hahaha halafu kuna wanaosema kwamba Christianity imeleta umaskini afrika kwamba kama siyo Christianity tungekuwa mbali sana, haya sasa huo ndio uafrika ambao ungetuendeleza? kwa maana huyo ni typical muafrika hata nigeria wanahuo utamaduni wanaita oga, kwetu wanaita umwinyi huo ndiyo uafrika in its purest form, its doesnt get more afrikan than that ...
Christianity is bullshit and scam.
 
Back
Top Bottom