Akhuuuu......moyo ulivojeruhiwa hivi nitake mengine tena, kwani sijipendi....
Una visa weye!
Nitakutuliza usahau machungu yote ya kumpoteza erick.
Ana mikwara huyo lol
Umeona eeh
Omba ruhusa kwa Amyner nikakuonjeshe kukumbushia enzi zetu
Umeona eeh
Omba ruhusa kwa Amyner nikakuonjeshe kukumbushia enzi zetu
Erick! Erick! Erick!
Mdomo unaponza kichwa ujue........shauri yako, usijesema sikukwambia!!
Kipipi sina nia mbaya..najua akienda kumwomba Amy hatakubaliwa
Mtie na singi la uso!
Unaishia kumsonta kidole haimtoshi hiyo!