Hahahaaaaa umeona eeeh jana ilikuwa mwisho kuiba! Eiyer nae ana matatizo lolErickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!
Dah BADILI TABIA unaanza kunifurahisha sasa!
Hebu komaa na huyu dogo labda mambo yatakuwa sawa na mimi nipumzike kidogo na bi mkubwa wangu Amyner
cacico hujambo lakini?Erickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!
Niko Hommie Kaizer. Naona Erickb52 kashakujibu hapo chini
Hommie unamjua Yummy? Ndo alikuwa matron kwenye ndoa yangu na BADILI TABIA.
wivu sina ingawa roho inaumaaaaaaa
Usijali my love BADILI TABIA, ni shetani tu alinipitia. Mie na wewe tutatenganishwa na udongo. Niape tena? Si unakumbuka maraha tulojipa jana? Sijui kwanini nashindwa kuyasahau....