BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
mimi sikutaki kwa sasa labda mpaka ushushe MZIGO...na mm ntapanda mbegu yangu hapo!kwa sasa aendelee mwenyewe.
Ki vipi?
The secretary huyu Bishanga ana moyo wa pekee wa kutokata tamaa kila mahali...yan hata afanywaje haelewi kitu lolunapotupa nyavu kila kona lakini hakuna samaki unayempata
Dah BADILI TABIA unaanza kunifurahisha sasa!unajua roho mbaya hailipi?
Yan cacico kuna watu wana roho mbaya roho ya korosho....Erickb52 pole ndiyo maisha, nimeona wengi wamecontribute kwenye kuvunja ndoa yako, lakini mmebaki imara! mpo juu kama avatar yangu! lol na we ukome kula visivyoliwa! si unaona vimenogewa mpaka wanataka kuvuruga sasa!?

Kuwa na subira nawewe lol
Erickb52 tena cha home unakula cha moto, kwa nafasi, bila woga wala kupaliwa, ukimaliza unashushia glass ya juice na kupumzika, kabla hujakaribishwa tena popcorn za sukari ndio muweke movie mpya! lakini vya kuiba........... mmmhh acha bwana, tena ukiri kukoma kabisa kula na walozi. mi wish u ol the best, uende na kule kwa Eiyer kasema hajui kutongoza ye bikira, ukamfundishe! lol!Yan cacico kuna watu wana roho mbaya roho ya korosho....
Nakushukuru sana walau nafarijika sasa na kweli nimekoma kabisa kula mtaani kama street child lol
Ntakuwa nakula homeeeeeeee tena cha home huwa kinanoga sana aisee lol