Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Nimeacha kabisa Kipipi
Ila siunajua napenda utani? Ila kwa kuwa unanicost nimeamua kuacha kabisa aisee
BTW Mzima? Im good
Even if Erick, hayo maneno uloongea yatosha kabisa kutia dosari!
Haya bana.........!
Ila siku bidada akiamua kutopuuzia, tafwazaaali tusitafutane! Si unajua kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha??
Dah yani Remmy mapenzi yetu yalivyokuwa matamu leo hii kuwa mwaminifu kwa wife wangu nakuwa *****?Anaonyesha jinsi anavyonikubali ila anamuogopa huyo bibie. Kashikwa masikio eti mpaka aruhusiwe, heheheeeeeee MUME ***** kabisaaaaaaa.
Ok fine
Hajambo kabisa Kipipi ingawa tangu ndio anatoka job so sijamuona bado ila she iz ok
Remmy.....unajisikiaje kuzini na mume wa mwenzio?? Ebu niambie mpendwa......nafsi yako haikusuti?Anaonyesha jinsi anavyonikubali ila anamuogopa huyo bibie. Kashikwa masikio eti mpaka aruhusiwe, heheheeeeeee MUME ***** kabisaaaaaaa.
Pouwa Kipipi zimefika labda kama kuna ujumbe mwingine
Halafu leo mbona siwaoni wadau wengine?
Kule hawapo na kila mahali hawapo...Au awatakuwa MMU?Mwambie aje kunisabahi! Wadau wengine yawezekana wapo kwenye kiduku kule kwa zinduna!
Dah jamani mbona mnaniweka njia panda sana?
Ok ngoja ninyamaze hope mambo yatatulia [MENTION=16543]Remmy[/
MENTION]