Amyner..Miss you so Much!

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,559
Reaction score
11,496
Hope u mzima wa Afya huko uliko!
Najua wapo wengi wanaokumiss Amyner ila nahisi mi nimekumiss zaidi yao!
Nimekuwa mpweke nikifarijiwa na kaka zangu Asprin Kaizer na Bishanga na wapenzi wao akina cacico CUTE The secretary na Catherine
Pia nawashukuru sana Remmy BADILI TABIA Yummy na sweetlady kwa kunipa kampan na kuuondoa upweke wangu na kunifanya nione niko nawe....!
Sitamsahau Mr Rocky na platozoom Judgement na beibe nasty bila kumsahau dada yangu kipenzi Roulette wako sambamba nami.
Miss you so much Amyner...Come back Please!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Khaa! Umuogope mwanamke mwenzio?
Haipogo! Changamka na tenda!
Unasubiri kumnenepesha Ng'ombe siku ya mnada?
Ngoja nikaoge then nirudi hapa kujenga banda kwenye huu uzi .
Hahahaa Judgement namshangaa huyu Catherine badala ya kujisevia faster ye anashangaa tu lol
Atapoteza bahati
 
Last edited by a moderator:
Khaa! Umuogope mwanamke mwenzio?
Haipogo! Changamka na tenda!
Unasubiri kumnenepesha Ng'ombe siku ya mnada?
Ngoja nikaoge then nirudi hapa kujenga banda kwenye huu uzi .

haya kaoge kwanza maana nimesikia harufu ya majasho. Ukirudi utanidadavulia hapo Judgement
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye zipu wazi naona una utani na kina Zipuwawa. Ngoja Remmy aje aone ulivyomkana.
Hahahaaaaa kuna watu hawachelewi lol
Hivi huyu Zipuwawa anakujaga huku kweli?
BTW Remmy kwa huu uzi akileta maneno mbofumbofu namlamba ban faster halafu naidelete post yake na yeyote atakayetaka kuniharibia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…