FANYIA KAZI USHAURI HUU: inaonesha homoni zake za testes hazipo vizuri;
ale kila siku karanga za kukaanga kiasi cha gramu 100 yani asubuhi gramu 50, na jioni 50 kila siku kwa siku 30 na ndani ya muda huo asitanie testes aziache zijijenge yani asijihusishe na kufanya ngono wala punyeto; akae mbali na tamaa na pia awe anakunywa juisi ya matunda ambayo flesh haijapitia kiwandani glasi 2 kwa siku yani asubuhi akiamka, na jioni akitaka kulala, baada ya mwezi mmoja atakuwa barabarani kama watu wengine !!