Unataka kusema binti anaitwa Kuruthumu!!Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.
Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.
ChaiHaha
Hii itakuwa ya kutunga 😆😆