- Thread starter
- #61
Hiyo kemia mkuu inaweza kuwa imejikita kwenye mgegedo kwamba genitalia zinaendana na zina utamu stahiki. Hii pia ni kemia mkuu. Japo nimekupata vizuri sana mkuu. Thumb up for ur comment.Ndoa sio dude lisiloeleweka. Mpaka mfikie hatua ya kufunga ndoa hakikisheni kuna chemistry kati yenu na si kuoneana huruma au tamaa. Kinyume na hapo lazima ndoa iwe chungu.