Tena lililoungwa kwa nazi!We kweli mpenda arage![]()

Hahahahaaa uwiii,nimecheka sanaHa ha ha haaa!! Wenzie tunakimbizana uchi chumbani hadi raha!!
Agiza bia au soda au wineHata mimi ningempiga chini,hata maofisini skuizi watu wanakuwa na utani wa hapa na pale,jitu lilosiriaz muda wote la nini sasa maisha yenyewe yametaiti haya mkijichekelesha inapunguza maumivu ya anko magu,sense of humor muhimu
We unanifaaaaaa we unanifaaaa.....Mwambie aje kunioa mm ntamtania mpk achoke, akitaka papuchi naanza kuenda mbio chumbn mpk atachoka kunikimbiza ataishia kulala, akirudi kazn anakuta meza imepambwa fresh hot pots zimefunikwa safiii akifunua empty msosi hamna na mengne meng mm napenda sana utani!!
Ahsante mkuu .nakunywaga ledibluuAgiza bia au soda au wine
Umeonaee huyo ana sababu nje ya hapo na sio kwamba hapendi utaniHapo ni ngumu kuamini, hata kama umetafutiwa lazima walishakaa wakazoeana na kujuana hakuona hiyo tofauti kweeli
Kwanzaa kwa maisha yapi mtu ushindwe kuwa na utani na mumeo!!! Hamna kitu Kizuri kama utani jamani, yawezekana analo lake jamboUmeonaee huyo ana sababu nje ya hapo na sio kwamba hapendi utani
Bora angeliweka wazi kuliko kumpa hila mdada wa watu.Kwanzaa kwa maisha yapi mtu ushindwe kuwa na utani na mumeo!!! Hamna kitu Kizuri kama utani jamani, yawezekana analo lake jambo
SHILAWADU...UBUYU
![]()






alafu huu ubuyu huwa naupenda ivi huwa unauzwa wap?Hapo hata mm jirani yake nimekutamani. Hiyo style ya kukimbizana chumbani mkiwa mmevaa "empty" imetulia sanaMwambie aje kunioa mm ntamtania mpk achoke, akitaka papuchi naanza kuenda mbio chumbn mpk atachoka kunikimbiza ataishia kulala, akirudi kazn anakuta meza imepambwa fresh hot pots zimefunikwa safiii akifunua empty msosi hamna na mengne meng mm napenda sana utani!!
Kama afande tu umeshangaa namna hii sisi wengine si ndiyo tutazimia kabisa?Sasa wanaishije bila utani kama wanapendana...basi hao walikurupuka.. 24 hours mambo ya msingi tu so stress zitajaa....hao haa outing hawatoki hao
Ndoa sio dude lisiloeleweka. Mpaka mfikie hatua ya kufunga ndoa hakikisheni kuna chemistry kati yenu na si kuoneana huruma au tamaa. Kinyume na hapo lazima ndoa iwe chungu.Jamani nyeti nilizopenyezewa sasa hivi ni kwamba jirani yangu ambaye ndoa yake ina miezi 8 tu imevunjika.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu aliyehusika ktk usuluhishi wa mgogoro Wa wanandoa hao, ni kwamba mke anamkera mumewe kwa kuwa hapendi utani. Wanaishi kwa kufuata mno utaratibu kana kwamba ni viongozi wa dini.
Mume inadai anapenda mke ambaye anaishi naye kama rafikj, kumtania kidogo na kisha wanacheka.
"Huyu mke wangu huyu tunaishi kwa kuongea mambo ya msingi tu. Inachosha". Alilalama njemba huyo.
My take: jamani ndoa ni dude lisiloeleweka.
HahahahaMwambie aje kunioa mm ntamtania mpk achoke, akitaka papuchi naanza kuenda mbio chumbn mpk atachoka kunikimbiza ataishia kulala, akirudi kazn anakuta meza imepambwa fresh hot pots zimefunikwa safiii akifunua empty msosi hamna na mengne meng mm napenda sana utani!!