Amsha amsha ya show za muziki miaka ya zamani

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
za leo wana JF.
natamani kuskia hadith na story kuhusu show za wanamuziki wa kitambo kabla hata sisi wakizazi cha 1990 hatujazaliwa.
binafsi niko in love sana na nyimbo za zaman nikisikiliza nyimbo kama ya mzee kalala nimekusamehe lakini sitosahau, them mushroom embe dodo embe dodo limelala mchangani malizia mdau wangu.... daa naburudika sana yani kupa ladha ya vitu vya zamani nanogewa sana.
miaka ya 2000 na nyimbo kama nimekuchagua wewe ya bob rudala ni tamu sana cha kushangaza hata haishuki kiwango, daddy coolo james kuna nyimbo yupo na miss sarah daa ni nzuri kwa kweli.
dansi kibao zianikosha sana kama kitambaa cheupe ni kali sana.
wakubwa tupeni habari zenu kipindi mpo vijana na wale wanaoingia utu uzima sana nafurahi kushea nanyi viwanja mlivyokua mnatokea kipindi icho na mama zetu vipi walikua wanasumbua kama akina dada wa siku izi?
 
..simpo dogo..nenda Entertainmen forum kwenye uzi wa Balantanda kuna madini ya kutosha!
...waazime kidogo Diamond na Kiba akili hizi,Bitchuka kashazeeka!
 
za leo wana JF.
natamani kuskia hadith na story kuhusu show za wanamuziki wa kitambo kabla hata sisi wakizazi cha 1990 hatujazaliwa.
binafsi niko in love sana na nyimbo za zaman nikisikiliza nyimbo kama ya mzee kalala nimekusamehe lakini sitosahau, them mushroom embe dodo embe dodo limelala mchangani malizia mdau wangu.... daa naburudika sana yani kupa ladha ya vitu vya zamani nanogewa sana.
miaka ya 2000 na nyimbo kama nimekuchagua wewe ya bob rudala ni tamu sana cha kushangaza hata haishuki kiwango, daddy coolo james kuna nyimbo yupo na miss sarah daa ni nzuri kwa kweli.
dansi kibao zianikosha sana kama kitambaa cheupe ni kali sana.
wakubwa tupeni habari zenu kipindi mpo vijana na wale wanaoingia utu uzima sana nafurahi kushea nanyi viwanja mlivyokua mnatokea kipindi icho na mama zetu vipi walikua wanasumbua kama akina dada wa siku izi?
Pitia hapa chini...

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao
 
Back
Top Bottom