Amri kumi kwa wapenda ofa ya bia..!

Amri kumi kwa wapenda ofa ya bia..!

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
Amri kumi kwa wapenda ofa ya bia !!!!
1.Muheshimu anayekununulia bia
2.Muamkie mtoa ofa kabla ya kukaa kitini
3Uwe ndie mchekeshaji wa kikao,lakini usimkatishe mazungumzo anayetoa ofaa
4.Daima jitolee kufuata na kubeba vinywaji toka kaunta
5.Mtoa ofa akikutuma popote usikatae
6.Mtoa ofa akiupenda muziki fulani, we anza kucheza kwa bidii kabisa
7.Usiwe msafi kuliko mtoa ofa
8.Usinywe kwa pupa,kunywa mafunda madogomadogo
9.Mtoa ofa akiwa man u nawe man u ,...

ongezeeni ya kumi.!mm imenitoka gafla.!
 
Du yote hayo si atakuoa hata kama ni mwanaume mwenzako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom