Amri kumi za mafanikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amri kumi za mafanikio

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Oct 6, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,381
  Trophy Points: 280
  AMRI 10 ZA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KWA WAKOLONI WEUSI. 1. Usiwakumbatie waovu kama Kikwete.
  2. Usiwe mwizi kama Lowassa
  3. usiwe mwongo kama Makamba.
  4. Usiwe mnafiki kama Rostam
  5. Usidharau pesa kama Chenge.
  6. Usikose msimamo kama Mrema 7. Usiingilie kazi zisizokuhusu kama Salma Kikwete
  8. Usilumbane hovyo kama Viongozi wa CCM.
  9. Usiwe na Kiburi kama Mramba
  10. (Amri kuu) USIKIPIGIE KURA CCM MWAKA 2015.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,814
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
   
Loading...