Ndo hivyo, mnapobadili gia angani muwe mnajiandaa na madhara kama haya........mimi sanasana nitakwambia nirudishie hivyo vitu au thamani ya pesa maana utavipata vingine huko ulikoamua kwenda.Watu wapo tofauti. Mwingine ana honga akitegemea arudishiwe fadhila.
Ikitokea kinyume na matarajio yake ndo hivyo anapanic
Huyu jamaa alikuwa anawekeza eti ili baadae afanye kazi na kuonekana alimlipia mpaka chuoInaelekea huyo njemba alikuwa anampa support demu akiwa chuo na mbususu alikuwa anakula. Na huenda wazazi wake huyo demu ndo walimpeleka chuo na ada wanamlipia wao. Huyo jamaa kakosa tu busara katika maamuzi yake, kashindwa kukubaliana tu na uhalisia wa mambo na kucheki njia nyingine.......mbona kumhonga demu hata kama yupo chuo ni kawaida tu wala huwezi kuchukulia kama unamsomesha?
Mchumba hasomeshwi, amejitafutia matatizo mwenyewe kwa ujinga wake.Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat
Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.
Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua. [emoji15]
Jazia nyama katika taarifa mkuu. Majina yao ni nani? Ni wapi huko yametokea hayo? Lini?Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat
Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.
Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua. [emoji15]
Maana asije akawa katupanga tu hapa....Jazia nyama katika taarifa mkuu. Majina yao ni nani? Ni wapi huko yametokea hayo? Lini?
Au bado hayajafahamika?
Ha haa ndo mpaka awe na uwezo wa kukulipa. Wewe fanya kama unatoa zawadi. Kama unajua itakuumiza usihonge kitu kikubwaNdo hivyo, mnapobadili gia angani muwe mnajiandaa na madhara kama haya........mimi sanasana nitakwambia nirudishie hivyo vitu au thamani ya pesa maana utavipata vingine huko ulikoamua kwenda.
Ebooo ungekuwa huna uwezo ungeondoka, mwambie huyo mmiliki mpya akulipie.......sisi wengine ni mtumbwi wa vibwengo, ukipanda kushuka hadi niamue mwenyewe.Ha haa ndo mpaka awe na uwezo wa kukulipa. Wewe fanya kama unatoa zawadi. Kama unajua itakuumiza usihonge kitu kikubwa
Basi vumilieni yatakayo wakuta. Utampiga risasi atakufa lakini haitabadilisha ukweli kwamba umepoteza pesa inayokuuma na uwezekano wa kwenda jela ni mkubwa. Utateseka kuliko huyo uliyemuwahisha kwa ground.Ebooo ungekuwa huna uwezo ungeondoka, mwambie huyo mmiliki mpya akulipie.......sisi wengine ni mtumbwi wa vibwengo, ukipanda kushuka hadi niamue mwenyewe.
Mwanaume haumwi na hiyo pesa, anaumwa na wewe kumtosa na kwenda kwa njemba nyingine........hiyo ya kurudisha pesa ni kumpooza machungu ingawaje bado inaweza isisaidie.Basi vumilieni yatakayo wakuta. Utampiga risasi atakufa lakini haitabadilisha ukweli kwamba umepoteza pesa inayokuuma na uwezekano wa kwenda jela ni mkubwa. Utateseka kuliko huyo uliyemuwahisha kwa ground.
Kwa style hiyo utateseka sana na mapenzi. Usitoswe wewe ni nani? 😅😅Mwanaume haumwi na hiyo pesa, anaumwa na wewe kumtosa na kwenda kwa njemba nyingine........hiyo ya kurudisha pesa ni kumpooza machungu ingawaje bado inaweza isisaidie.
Nawaongelea wengine, mimi ukinitosa ni poa tu utanipunguzia mzigo........anytime nakamata mbebez mwingine, mambo yanaenda.Kwa style hiyo utateseka sana na mapenzi. Usitoswe wewe ni nani? 😅😅
👍 👍Nawaongelea wengine, mimi ukinitosa ni poa tu utanipunguzia mzigo........anytime nakamata mbebez mwingine, mambo yanaenda.
Kuja kwa mimi basii, maana hakuna kudaiwa wala shaba😜
Mzee mimi unipeleke wapi, we kama unanimwagia mapesa nimwagie tuKuja kwa mimi basii, maana hakuna kudaiwa wala shaba😜
Nimekupa guarantee.....no kudaiwa, no shaba...Mzee mimi unipeleke wapi, we kama unanimwagia mapesa nimwagie tu
Sasa shaba unaweza ukapigwa weweNimekupa guarantee.....no kudaiwa, no shaba...
Unitose, na bado unipige shaba........dooh!Sasa shaba unaweza ukapigwa wewe