Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Ampiga mchumba wake risasi 10 za kichwa

Dkt Guston

Senior Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
105
Reaction score
119
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza, alikua akisoma sheria. Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza.

Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa hadi kumuua.
 
Kijana mmoja ampiga mpenzi wake risasi kumi (10) za kichwa Baada ya kumcheat

Kutokana na watu wanavyodai msichana huyo amemsomeshwa na huyo mchumba wake chuo mpaka kumaliza , alikua akisoma sheria, Baada ya kumaliza akapata mchumba mpya akaamua kumuacha mpenzi wake aliemsomesha chuo mpaka kumaliza



Mpenzi wake akaamua kuchukua maamuzi ya kumpiga risasi za kichwa Hadi kumuua
Sms za jamaa hizi hapa
IMG-20221102-WA0014.jpg
IMG-20221102-WA0013.jpg
 
Mchumba hasomeshwi.. Kama kwao hakusomeshwa do it at your own risk... Kwakuwa haina guarantee kwamba atakupenda kisa ulimsomesha maana hisia za mapenzi na shukrani ya elimu ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Niliapa sitawai kuwa serious na mapenzi

Mapenzi ni upuuzi fulani hivi me nikikojoa imeisha hiyo

We Kama unacheat nenda tu kacheat Sina muda ki ujumla!!!

Nitakuwa na mapenzi na mama yangu na pesa tu hapa duniani!!
 
Back
Top Bottom