Ampa first born jina la Ex wake!!


::
Of course It is painful.
Marriage is a institution that hides much of unsensed dangerous secrets
=
 


Dada,nilipoona haya madudu sikutaka hata kukuita nikijua na hapa lazima utakuja tu!
Btw,sijui kama haya unayowafundisha wanakuelewa.. maana inaonekana kama wanaongeza bidii ya kutenda kinyume chake kila kunapokucha! Sasa sijui na hapa tuwalaumu NECTA!?
 
nashkuru sasa angalau umenitamkia kuwa utaoa mdogo wangu!
ahsante!
tunaweza kuanzia hapo juu ya ile battle yetu kuwa,nampata wapi wa aina hii?
pamoja na haya yooote yoote bado good girls wapo!na hakika utampata!

Hahaha..dada snowhite umenikamata vizuri! Ila nimeisema hiyo ili niblend na thread.
So far so bad...I've met kama watatu hivi n they v ol been disappointing!!! (Cc: Mtambuzi)

Haa Mentor! Women are powerful,,ukipigwa busu,ukageuzwa ubavu,ukakapapaswa utosini utajikuta unasema "GO AHEAD honey I trust you"
ha ha ha
Tetra, si unajua jinsi ambavyo kabla ya kuoana mnaekeana ground rules!??

Kwangu hiyo ni ground rule..haiwi discussed after ndoa au sijui ile siku ana mimba au ndo amejifungua...HAPANA!

I STATE that right from the beginning of our relationship!

I MEAN THAT BY THE WAY..sijasema tu ili kuchangia mada.:eyeroll1:
 
Last edited by a moderator:

::
Haaa navyowajua wanawake!! All the best with ur principles.
=
 
Last edited by a moderator:
kumwita jina la ex wako ni sawa na mtoto wako anakupiga kitu....ipo siku atadate naye time will tell
 
Nadhani wapo wengi wanaofanya hivyo, yupo dada yangu mtoto wa Mamangu mdogo kamuita mtoto wake jina la X wake na sidhani kama shemeji analijua hilo. Binafsi niliwahi kuwaza hivyo baada kuachwa na niliyedhani yeye ndo kila kitu kwangu, ila kwa sasa hivi naona ulikuwa ni ujinga siwezi fanya hivyo.
 
Mimi hata nikisikia mtu anaitwa jina hilo namchukia.......baadae nikipata fahamu ndio nagundua kumbe sio yule.......watu wana roho...,

tehee.....tehe......do! punguza hasira mdada!
mara nyingi nawaambia wanawake mambo yenu mengi yapo rohoni sasa kumbuka roho ikibeba inabeba kweli na ikisamehe inasemehe moja kwa moja! sasa titizo liko wapi hapa?
ikumbukwe kuwa wakati mwingine mapenzi ya utoto lazima yaishe kwa kuwa mbele kunaweza kuwa hakuna future sasa inategemea na mtazamo nani kawahi hivyo vinyongo sio vizuri ndugu zangu
japo kuna watu hapa wapenzi wao walio waudhi wakiamua wawape watoto majina wanaweza kujaza behewa la mwanza
 
Yaani its a big NO. Mtu ni Ex for a reason. Na nahisi ex should stand for expired. Its a shame, halafu arithi na tabia mbaya za wajina...
 
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:

mmmmmmmmmmmmmmmmmmh ndoa zina mengi ngoja ninyamaze!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
haya ni matatizo ya kufanya compromise kwa watu wengine pale tunapotendwa na wapenzi wetu wa awali.......that means her current husband is a compromise of her previous lover.....i am not judging her bt seriously that sounds stupid and absurd.......
 
mbona wengi tu wanawapa watoto zao majina ya ex zao? ni kawaida mno.
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmh ndoa zina mengi ngoja ninyamaze!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nini Asnam, ground rules lazima ziwepo usije mpa mwanangu jina la liboyfriend lako la zamani ulilolifuma likipumuliwa kisogoni bana!
 
Last edited by a moderator:
Nini Asnam, ground rules lazima ziwepo usije mpa mwanangu jina la liboyfriend lako la zamani ulilolifuma likipumuliwa kisogoni bana!

hahahahaha huyo dada ni mwendawazimu tu mi hata huwa simuwazi ex hata siku moja,ikitoka imetoka kweli haijalishi mi ndo nimetoa au nimepigwa kibuti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…