Nafikiri hiyo sio fair kabisa ni moja ya jambo ambalo linonyesha dhahiri kuwa mtu kamwe hawezi kumsahau zilipendwa wake na mwenzi aliyenaye kwa wakati huo hawezi pendwa kama Ex alivyopendwa,na kiukweli hii inumiza sana kwani ni kama vile unachezea hisia za mwenzio.Nafikiri kama we ni mtu unayejijua umewahi kuwa na ex ambaye huwezi kumsahau na huwezi kulificha hilo ni bora kutooa au kuolewa kabisa au kuepuka maswala ya kuwapa waotot majina ya ma ex wenu ili kuepuka kuumiza wake au waume mnaokuwa nao kwa wakati huo.
So stupid!
wehu huo!
maswala ya kuweka archives za maumivu mimi nilishayakataa!
niliyakataa na siyataki!
uniumize leo na milele?
ahahahhahahha haipo i see!NAUMIA SASA!NALIA WEEEEE!NALIAAAAAA!
NIKIYAFUTA NA NIKAYAKOGA!
imekwisha i see!veeery FINITO!
nipate mume anienzi,anipe stara,anipe mapenzi,tupate mtoto nimwite jina la X,
ngumu I SEE!
kama mimi ni mume,SIKU NITAKAYOGUNDUA ,na mimi utamtafuta wa kuzaa nae umpe jina langu!
wehu huo!
maswala ya kuweka archives za maumivu mimi nilishayakataa!
niliyakataa na siyataki!
uniumize leo na milele?
ahahahhahahha haipo i see!NAUMIA SASA!NALIA WEEEEE!NALIAAAAAA!
NIKIYAFUTA NA NIKAYAKOGA!
imekwisha i see!veeery FINITO!
nipate mume anienzi,anipe stara,anipe mapenzi,tupate mtoto nimwite jina la X,
ngumu I SEE!
kama mimi ni mume,SIKU NITAKAYOGUNDUA ,na mimi utamtafuta wa kuzaa nae umpe jina langu!
Blue G
haa! Bora usioe au kuolewa tena? Watoto utapataje?
Hajui maana ya ku"let it go"
Kama ni mtoto tu tafuta mtu mwenye malengo kama yako yaani ya kupata mtoto tu na usitafute mwenye malengo ya kujenga ndoa iliyojaa upendo na haiba,huyo ataishia kuwa dissapointed tu,jambo ambalo si vizuri kulifanya mkuu Tetra au unasemaje kwa hapo?
::
Anaonekana mwenye furaha sana unapotaja jina la mtoto wake.
Lakini kuna wakati anatoa chozi,,anainama,,na anafikiri sana na uso wake unapoteza uangavu wake wa asili.
::
Anasema hakutegemea kuolewa na mume aliyenae sasa.Ila alikosana sana na ex wake baada ya yeye kutendwa na kuumizwa sana
::
Kwa kuwa alisalitiwa na aliyempenda hakuwa na jinsi na ikafikia hatua ya kutengana na ex huyo.Lakini njia ya kumuenzi na kumsamehe X aliyempenda alimshawishi mumewe ampe jina hilo,,ambalo mumewe hakujua chanzo chake.
Na anasisitiza anafurahi sana akisikia linatajwa.
Mtoto wake huyu wa kiume ana miaka 4 kwa sasa.
::
Jamani wana JF njia nyingine rahisi hiyo ya kuwaenzi na kuwasamehe "TULIOWAPENDA" ila hayakuwa majaliwa kuwa nao ni kuwapa watoto wetu majina ya ex wetu
=