Amos Makalla roho yake ipo CHADEMA mwili upo CCM

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,106
Reaction score
3,027
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.

Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama sio watanzania wote, wanataka mabadiliko ya kiumfumo, mawaziri wote, wanataka" No reforms No election" Ila kwasbb ya "njaaaaaa" huleta unafiki na unafiki unaleta usaliti, na usaliti unaleta utumwa wa nafsi, wanaishi lakin hawana amani kabisa na( CCM) ukiwangalia watu wote waliopo serikalini, wanaimbia kimoyomoyo No reform No election.

Ukizama rohoni sana utaona mpaka rais mstafu kikwete anaataka mabadiliko.

Mwaka huu ni mwaka uwaamsho ,mwaka wa second freedom kwa taifa letu pendwa la Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makala, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema.

Huu ndo ukweli mchungu ccm wote kama sio watanzania wote, wanataka mabadiliko ya kiumfumo, mawaziri wote, wanataka" No reforms No election" Ila kwa sbb ya "njaaaaaa" huleta unafiki na unafiki unaleta usaliti, na usaliti unaleta utumwa wa nafsi, wanaishi lakin hawana amani kabisa na( ccm) ukiwangalia watu wote waliopo serikalini, wanaimbia kimoyomoyo No reform No election.

Akipwa uhuru na akahakikishiwa mafao yake atahamia Chadema
 
View: https://www.facebook.com/share/v/1AiaNkvXjn/?mibextid=D5vuiz
 
Back
Top Bottom