Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza kupingwa ndani ya CHADEMA yenyewe kupitia kundi la G-55, kabla haijakataliwa na vyama vingine 17 vya siasa (ukiondoa CCM) vilivyoamua kushiriki uchaguzi.
Makalla amesema hayo Mei 23, 2025, katika jiji la Shinyanga wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku saba kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa. Aidha, amesema hata Watanzania wameipinga kwa sababu wanajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi.