PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao.

Makalla amesema wanaoondoka CHADEMA hawaoni matumaini.

Amos Makalla ameyasema hayo akiwa mkoani Morogoro kwenye ziara.
View attachment 3329978
Ccm
 
Back
Top Bottom